Pre GE2025 Rais Samia: Hakuna Uhuru wa Habari usio mipaka yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Vp Dodoma Ikulu Haitoishi Idadi Hiyo Kuapishiwa Kule
 
Uhuru wenye mipaka ni utumwa-MwanaHalisi
 
Unakumbuka shuka asubuhi, wakati usiku mbu washafanya yao, hiyo malaria ni yako utajua utakavyoitibu.

Unaambiwa hakuna njia nyingine baki barabara hiyo hiyo uliyopokea unaleta ujuaji, kama kuongoza nchi rahisi si kila mtu angekuwa na hizo ndoto.

Hatua mbili mbele, moja nyuma ndio uongozi wetu. Kazi ya kubadili watu tabia walizozea sio rahisi bila ya maamuzi magumu kwa wakaidi uwezi songa mbele; utazinguka tu kubembelezana.
 
Matusi na uchawi ndio nguzo ya Masikini, sasa shida ni unamtukana nani?

Utafiti unaonyesha kwamba vijana wengi wanaotukana hapa JF, huwa wanatukana Wazazi wao
Kamwambie mumeo Mbowe haya maneno. Au naye anamuwaza Jiwe 24/7 kama wewe mkewe?
 
Ni kweli mama,anything too much is harmful
 
Mipaka ya uhuru wa habari ni ipi???

Inaanzia wapi na inaishia wapi??

Nani anaweka hiyo mipaka?? Vigezo vya hiyo mipaka ni vipi??

Nani alichagua criteria za hiyo mipaka??

Aliteuliwa na nani kutengeneza criteria za hiyo mipaka???
 
Ila yeye ana uhuru wa kubwabwaja bila mipaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…