100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Nimekuuliza umefuata taratibu za kuisajili hio vpn? Kwa nini unavunja sheria?VPN Ndio Nini?
Nimekuuliza umefuata taratibu za kuisajili hio vpn? Kwa nini unavunja sheria?VPN Ndio Nini?
Mkuu wewe unavunja sheria unapaswa kushitakiwaMimi nimeingia humu jukwaani Mwenyewe tu
Kama mlikuwa mnahitaji huo mtandao mlifungia ya nini ??Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa Moyo wa Ujasiri ,kujiamini na Kwa Uhodari Mkubwa sana wa kiuongozi Amewatoa hofu watanzania wote kuwa wajitokeze kwa wingi na kufurika kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi.
Na kwamba siku hiyo ya Uchaguzi hakutakuwa na vurugu ya aina yoyote ile, kwa sababu vyombo vya Ulinzi na Usalama vipo imara , tayari na vimejitayarisha kuwalinda watanzania na usalama wa Taifa letu.
Kwa Ujasiri Mkubwa Rais Wetu Mpendwa akatamka ya kuwa yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu na anawahakikishia Watanzania kutamalaki kwa amani ,utulivu na usalama Nchini. Na kwamba hicho ni kipaombele kikubwa.
Mama yetu Mpendwa ameendelea kusema ya kuwa Haitakuwa na maana ikiwa kwa sasa watajitokeza kwa wingi katika mikutano ya kampeni halafu wakajitokeza wachache kwenda kupiga kura. Rais wetu Mpendwa ametoa Rai na kuwasihi watu kwenda kupiga kura kwa wingi na kuichagua CCM ili iweze kuwaletea maendeleo na kuendelea pale ilipoishia.
Rais wetu Mpendwa amesema ya kuwa serikali ya CCM imefanya kazi kubwa sana ya kutatua kero mbalimbali ikiwepo kuunda tume mbalimbali za kushughulikia changamoto mbalimbali. Na kwamba kazi hiyo itaendelea kufanyika. Amewataka watanzania kutojihusisha na vurugu za aina yoyote ile na badala yake kulinda amani yetu ambayo ndiyo msingi wa maendeleo ya Taifa letu.View attachment 3476764
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Siku zote fujo wanaanzilsha hawa vilaza wa jeshi la polisiccm katika harakati za kuisaidia CCM kuiba na kuchakachua kura. Sasa mwaka huu watamuibia nani na wamebaki wenyewe? Ni wapumbavu tu ndiyo watapoteza muda wao kushiriki hilo punyeto la kisiasa mnaloita uchaguzi.Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa Moyo wa Ujasiri ,kujiamini na Kwa Uhodari Mkubwa sana wa kiuongozi Amewatoa hofu watanzania wote kuwa wajitokeze kwa wingi na kufurika kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi.
Na kwamba siku hiyo ya Uchaguzi hakutakuwa na vurugu ya aina yoyote ile, kwa sababu vyombo vya Ulinzi na Usalama vipo imara , tayari na vimejitayarisha kuwalinda watanzania na usalama wa Taifa letu.
Kwa Ujasiri Mkubwa Rais Wetu Mpendwa akatamka ya kuwa yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu na anawahakikishia Watanzania kutamalaki kwa amani ,utulivu na usalama Nchini. Na kwamba hicho ni kipaombele kikubwa.
Mama yetu Mpendwa ameendelea kusema ya kuwa Haitakuwa na maana ikiwa kwa sasa watajitokeza kwa wingi katika mikutano ya kampeni halafu wakajitokeza wachache kwenda kupiga kura. Rais wetu Mpendwa ametoa Rai na kuwasihi watu kwenda kupiga kura kwa wingi na kuichagua CCM ili iweze kuwaletea maendeleo na kuendelea pale ilipoishia.
Rais wetu Mpendwa amesema ya kuwa serikali ya CCM imefanya kazi kubwa sana ya kutatua kero mbalimbali ikiwepo kuunda tume mbalimbali za kushughulikia changamoto mbalimbali. Na kwamba kazi hiyo itaendelea kufanyika. Amewataka watanzania kutojihusisha na vurugu za aina yoyote ile na badala yake kulinda amani yetu ambayo ndiyo msingi wa maendeleo ya Taifa letu.View attachment 3476764
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jaribu uandamane na kuleta vurugu ili ufundishwe na kushikishwa adabu.Vurugu nimemuibia mtu, nimepiga mtu? Ni haki yangu kikatiba kuandamana....
Mfikishie taarifa huyo bibi kizee wenu tarehe 29 tunaandamana...
Uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa na watanzania watashiriki kikamilifu kabisa na kujitokeza kwa wingi sanaSikuzot3
Siku zote fujo wanaanzilsha hawa vilaza wa jeshi la polisiccm katika harakati za kuisaidia CCM kuiba na kuchakachua kura. Sasa mwaka huu watamuibia nani na wamebaki wenyewe? Ni wapumbavu tu ndiyo watapoteza muda wao kushiriki hilo punyeto la kisiasa mnaloita uchaguzi.
Wapumbavu modeli yako tu ndiyo watafanya huo ujinga.Uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa na watanzania watashiriki kikamilifu kabisa na kujitokeza kwa wingi sana
Unaingia ukiwa London shemegiMimi naingia tu
Unipitie twende woteYaani hio tarehe 29 oct ndipo itafahamika nani ni boss wa hii nchi, ni rais ama wananchi...
Nakuuliza umeingiaje hapa, huu mtandao umefungiwa... Kwanini unatumia vpn pasipo kuisajili TCRA?VPN Ndio Nini?
Naingia nikiwa Washington DC Marekani Shemeji yangu.Unaingia ukiwa London shemegi
Nipo Washington DC MarekaniNakuuliza umeingiaje hapa, huu mtandao umefungiwa... Kwanini unatumia vpn pasipo kuisajili TCRA?
Kufungia JF ni '' jeraha la kujitakia'', walidhani wanaumiza wengine kumbe wanajiumizaKumbe hata CHAWA mnatumia vpn kuingia JF na kuendeleza hizi ngojera??
Saa 1 asubuhi nipo hapo nje kwako...Unipitie twende wote
Mtapigwa mpaka msahau mlikotokea. Yaani Mpaka nije kukuokoa na kukushika mkono utakuwa huwezi hata kusimama Mwenyewe zaidi ya kuomba nikubebe tu mikononi mwangu.Unipitie twende wote
Mimi nipo Washington DC MarekaniKufungia JF ni '' jeraha la kujitakia'', walidhani wanaumiza wengine kumbe wanajiumiza
Tangu JF ifungiwe hawana mahali pa propaganda hadi Lucas kutumia VPN, ha ha ha
Lucas, usipate tabu wanaoweza kusoma ni wachache! beba kipaza sauti uzunguke mjini hapa ni ''diaspora'' na vpn
JokaKuu
Washington DC ya ushuzi...Nipo Washington DC Marekani