GE2025 Rais Samia: Hakutakuwa Na Vurugu Siku Ya Uchaguzi, Mimi Ndiyo Amiri Jeshi Mkuu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huu upumbavu ulioandika ungepeleka kwenye foruma za Lumumba .

Unapost habari za huyo mama yako kwenye jukwaa alilotoa amri lifungiwe kwa kusema halina maadili ?
Uwe na heshima na adabu kwa Mheshimiwa Rais
 
Heshima kwenye jukwaa lililofungwa wewe nyang'au.?

Hili jukwaa mama yako kalifungia kwa kusema halina maadili wewe unafanya nini hapa kwa kuleta habari za huyo mama?

Sasa na wewe habari zake unatuletea maana hazina maadili subiri December 5 ndio uje tena kupayuka .
 
Heshima kwenye jukwaa lililofungwa wewe nyang'au.?

Hili jukwaa mama yako kalifungia kwa kusema halina maadili wewe unafanya nini hapa kwa kuleta habari za huyo mama?
Mbona upo humu jukwaani? Kaa pembeni usubirie lifunguliwe.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa Moyo wa Ujasiri ,kujiamini na Kwa Uhodari Mkubwa sana wa kiuongozi Amewatoa hofu watanzania wote kuwa wajitokeze kwa wingi na kufurika kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi.

Na kwamba siku hiyo ya Uchaguzi hakutakuwa na vurugu ya aina yoyote ile, kwa sababu vyombo vya Ulinzi na Usalama vipo imara , tayari na vimejitayarisha kuwalinda watanzania na usalama wa Taifa letu.

Kwa Ujasiri Mkubwa Rais Wetu Mpendwa akatamka ya kuwa yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu na anawahakikishia Watanzania kutamalaki kwa amani ,utulivu na usalama Nchini. Na kwamba hicho ni kipaombele kikubwa.

Mama yetu Mpendwa ameendelea kusema ya kuwa Haitakuwa na maana ikiwa kwa sasa watajitokeza kwa wingi katika mikutano ya kampeni halafu wakajitokeza wachache kwenda kupiga kura. Rais wetu Mpendwa ametoa Rai na kuwasihi watu kwenda kupiga kura kwa wingi na kuichagua CCM ili iweze kuwaletea maendeleo na kuendelea pale ilipoishia.

Rais wetu Mpendwa amesema ya kuwa serikali ya CCM imefanya kazi kubwa sana ya kutatua kero mbalimbali ikiwepo kuunda tume mbalimbali za kushughulikia changamoto mbalimbali. Na kwamba kazi hiyo itaendelea kufanyika. Amewataka watanzania kutojihusisha na vurugu za aina yoyote ile na badala yake kulinda amani yetu ambayo ndiyo msingi wa maendeleo ya Taifa letu.View attachment 3476764

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unatumia VPN hujui ni dhambi na haramu. Kwanini mmefungia mtandao?
 
View attachment 3476809
View attachment 3476810
Watawala wa Afrika Bwana hujipa matumaini makubwa ila pale kiwakapo ndo wa kwanza kukimbia nchi, so unajiuliza huo ujasiri wa kukimbia nchi mapema huwa wanatoa wapi badala ya kubaki na kuonesha ukuu wao.

Wenye nchi huwa wananchi siku wakisema hatutaki masaa 24 ni mengi wanakuondoa
 
Basi jaribu uandamane siku ikifika ili uje usimulie wajukuu zako kitakacho kupata siku hiyo.
Sawa usisahau kuwahadisia wakwako kwamba enzi zako ulikuwa chawa wa mtandaoni ulieshiriki kuwadalalia watanzania Ila ilishindikana utawaelezea wapi ujinga wa ccm ulichangia anguko lenu waeleze pia hata pesa uliokuwa unapokea ilikuwa yakufungwa nyoka tu pia waeleze mliwapa watanzania nini kwa huh ujinga wa miaka yote Ila ukomo umefikia haoo apo Luca mageuzi yameiva kiongozi
 
CCM ndio tumaini la watanzania
 
Jaribu kuleta vurugu uone cha mtema kuni. Utapigwa kama Mbwa Koko.
Nami lazima nitoke tarehe 29 lazima kama kufa nife sio kwa maisha haya. Kwani kupigwa wamepigwa wangapi wewe mwenyewe unapigwa ila hujui 29 natoka kama kupigwa nipigwe tu
 
Kama yeye Amiri jeshi mkuu ana nguvu na mamlaka, sasa anafanya kampeni za nini?
 
Mnafunga mitandao af mnakuja kuleta uninga. Msifanye watu wajinga.
 
Mamlaka ya mwisho iko kwa wananchi kwa maana Nguvu ya Umma hakuna jeshi linaweza kushinda nguvu ya Umma sema viongozi huwa hawajifunzi sema watanzania bado hatujafika hiyo atua maisha bado rahisi sana wananchi wanapata chakula aridhi hipo ya kutosha watu wanalima serikali imeruhusu watu wanafanya biashara kiolele bado Tanzania chance ya kutoboa ni kubwa but Umma ukiamua hakuna cha Amri jeshi mkuu wanaishiaga kukimbia nchi tena kupitia mlango wa chooni
 
Back
Top Bottom