GE2025 Rais Samia: Hakutakuwa Na Vurugu Siku Ya Uchaguzi, Mimi Ndiyo Amiri Jeshi Mkuu

GE2025 Rais Samia: Hakutakuwa Na Vurugu Siku Ya Uchaguzi, Mimi Ndiyo Amiri Jeshi Mkuu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nilijiandikisha Dar ila kwa Sasa nipo Bukoba hivi nitaweza kupiga kura zote au ya urais tu? Au hata ya urais Kuna vipengele lazima vifanyike?
Kama una nida haina haja ya kupiga kura...kura yako tayari ishapigwa
 
Kama una nida haina haja ya kupiga kura...kura yako tayari ishapigwa
Mi natumia akili kufikiria sio bendera kufuata upepo Kila nnachoambiwa hata kama hakimake sense!.
We kwa akili zako API za nida zinafanyaje kazi kwenye Manual system?
Hata kama NIN ni yangu inaintagrate vipi kwenye system ambayo ni Manual?
Akili za kuambiwa changanya na zako sio Kila unachoambiwa unakibeba kama kilivyo.
Hicho kichwa ulipewa Kwa ajili ya kutumia akili kufikiria sio kutunzia meno tu.
 
Umemjibu vizuri sana na kama ana akili atakuwa amepata Elimu
 
Uwe na adabu.
Nilisha kueleza mara kadhaa; wewe ni mgonjwa wa akili, na huwa sisomi takataka zako nyingi humu.
Nilipoandika hapo sikujuwa mada uliileta wewe; ningejuwa nisingesoma kabisa.

Hata hivyo, jibu sahihi linabaki kuwa hivyo hivyo. Samia na Genge lake ni majambazi yanayohitaji kushughulikiwa na waTanzania.
 
Mada hii ipo juu ya uwezo wako wa kufikiri
Lait ungejua kuwa watu huwa hawasomi habari zako. Zamani kabla kujua kuwa wewe ndiyo walewale watu walisoma mada zako,ila kwa sasa hahah😂😂😂😂
Watu wanakudharau sana. Unaweza kushika nafasi ya kwanza ya mtu anayedharaulika humu ukifuatiwa na Tlaatlaah
 
Ni upuuzi Rais kuona kwamba ndo Amiri Jeshi mkuu si kigezo cha kutumia nafasi vibaya

Ni ujinga

Britanicca
 
  • Thanks
Reactions: I M
Kashajaa upepo huyu.na vijana naona wanamorali ya kutoshaa wanasema kama mbwai mbwai.
 
Mbona wewe hujatekwa wala kuuwawa
Kwa sababu mmenitafuta na mnaendelea kunitafuta bila mafanikio.

Mmefikia kuifungua JF kwa sababu wamiliki wamegoma kutoa credentials za members since uanzishwaji wake

Pen name ninayoitumka hapa ni kinga yangu pia
 
Back
Top Bottom