Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #41
Nasema nipo Washington DC MarekaniWashington DC ya ushuzi...
Sajili hio vpn we chawa...
Mnashangilia jf kufungiwa halafu mnatumia vpn...
Nasema nipo Washington DC MarekaniWashington DC ya ushuzi...
Sajili hio vpn we chawa...
Mnashangilia jf kufungiwa halafu mnatumia vpn...
Kasajili hio vpn we mjinga...Nasema nipo Washington DC Marekani
Uwe na adabu.Amiri Jeshi Jambazi?
Hilo ni jeshi la nchi?
Jaribu uandamane uone 🔥 wake.😂😂😂😂😂ni maandamano yaa amani tunashukuru amiri jeshi kwa kutupa uakika wakuandamana kwa amani kitendawili ni baada ya hapo
Usinuzie uoga kataa wahuniJaribu uandamane uone 🔥 wake.
Basi jaribu uandamane siku ikifika ili uje usimulie wajukuu zako kitakacho kupata siku hiyo.Usinuzie uoga kataa wahuni
Mdogo wangu, kwanza naamini hujambo.Mimi nimeingia humu jukwaani Mwenyewe tu
Kwani kuna Washington DC ya Uturuki?Nasema nipo Washington DC Marekani
Mama anastahili kupigiwa kura za Ndio kwa wingi sana. Hii ni kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na maendeleo makubwa yaliyopatikana ndani ya muda mfupi wa uongozi wakeTumpigie kura samia.
Toka nje na siyo kuongelea chini ya Uvungu.October twendeni tukafe watanzania tumwache amiri aendelee ku amuru jeshi lake