GE2025 Rais Samia: Hakutakuwa Na Vurugu Siku Ya Uchaguzi, Mimi Ndiyo Amiri Jeshi Mkuu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama mlikuwa mnahitaji huo mtandao mlifungia ya nini ??
Hizi ni akili za namna Gani unamfunga MTU alafu unamfuata gerezani akusaidie ?
 
Sikuzot3 Siku zote fujo wanaanzilsha hawa vilaza wa jeshi la polisiccm katika harakati za kuisaidia CCM kuiba na kuchakachua kura. Sasa mwaka huu watamuibia nani na wamebaki wenyewe? Ni wapumbavu tu ndiyo watapoteza muda wao kushiriki hilo punyeto la kisiasa mnaloita uchaguzi.
 
Uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa na watanzania watashiriki kikamilifu kabisa na kujitokeza kwa wingi sana
 
Kumbe hata CHAWA mnatumia vpn kuingia JF na kuendeleza hizi ngojera??
Kufungia JF ni '' jeraha la kujitakia'', walidhani wanaumiza wengine kumbe wanajiumiza
Tangu JF ifungiwe hawana mahali pa propaganda hadi Lucas kutumia VPN, ha ha ha

Lucas, usipate tabu wanaoweza kusoma ni wachache! beba kipaza sauti uzunguke mjini hapa ni ''diaspora'' na vpn

JokaKuu
 
Maandamano wala siyo vurugu!

BTW: Anafikiri nchi zenye vurugu hazina hao Amiri Jeshi Mkuu?😁

Zinao tena wanaume wengine ni Majenerali wa jeshi wenye uzoefu wa mapigano yenyewe!!
 
Mimi nipo Washington DC Marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…