Kama una nida haina haja ya kupiga kura...kura yako tayari ishapigwaNilijiandikisha Dar ila kwa Sasa nipo Bukoba hivi nitaweza kupiga kura zote au ya urais tu? Au hata ya urais Kuna vipengele lazima vifanyike?
Acha uongo na upotoshaji.Kama una nida haina haja ya kupiga kura...kura yako tayari ishapigwa
Mi natumia akili kufikiria sio bendera kufuata upepo Kila nnachoambiwa hata kama hakimake sense!.Kama una nida haina haja ya kupiga kura...kura yako tayari ishapigwa
Umemjibu vizuri sana na kama ana akili atakuwa amepata ElimuMi natumia akili kufikiria sio bendera kufuata upepo Kila nnachoambiwa hata kama hakimake sense!.
We kwa akili zako API za nida zinafanyaje kazi kwenye Manual system?
Hata kama NIN ni yangu inaintagrate vipi kwenye system ambayo ni Manual?
Akili za kuambiwa changanya na zako sio Kila unachoambiwa unakibeba kama kilivyo.
Hicho kichwa ulipewa Kwa ajili ya kutumia akili kufikiria sio kutunzia meno tu.
Watanzania wengi hawapendi kuhangaisha akili zao kujua mambo.Umemjibu vizuri sana na kama ana akili atakuwa amepata Elimu
Nilisha kueleza mara kadhaa; wewe ni mgonjwa wa akili, na huwa sisomi takataka zako nyingi humu.Uwe na adabu.
Lait ungejua kuwa watu huwa hawasomi habari zako. Zamani kabla kujua kuwa wewe ndiyo walewale watu walisoma mada zako,ila kwa sasa hahah😂😂😂😂Mada hii ipo juu ya uwezo wako wa kufikiri
Sawa subiri uoneJaribu uone moto wake.
Utavunjwa MiguuSawa subiri uone
Kwa sababu mmenitafuta na mnaendelea kunitafuta bila mafanikio.Mbona wewe hujatekwa wala kuuwawa
Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzuKashajaa upepo huyu.na vijana naona wanamorali ya kutoshaa wanasema kama mbwai mbwai.
Nikivunjwa na wewe unavunjwa maana njia ni mojaUtavunjwa Miguu
Ukikaza sana shingo itavunjika Lucas.Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu
Tii sheria bila shurutiNikivunjwa na wewe unavunjwa maana njia ni moja
Acheni kujidanganyaUkikaza sana shingo itavunjika Lucas.
Ondoa ujinga wako hapa wewe. Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuuHatukutaki wewe mama vipi