Viongozi msijifungie kwa kusoma magazeti ya chama na serikali tu. Karibuni Jamiiforums kwa habari za kina za kila aina, mfano :
RENAMO chama kikuu cha upinzani Mozambique waikumbusha serikali juu ya katiba
4 August 2021 Maputo, Mozambique Chama kikuu cha upinzani RENAMO chahoji katiba kutofuatwa kwa majeshi ya kigeni ya nchi za Afrika kuingia nchini Mozambique. Hoja hiyo imewasilishwa na kiongozi wa upinzani bungeni Bw. Venâncio Mondlane Nakutaka kikao cha dharura cha Bunge kifanyike ili...
4 August 2021
Maputo, Mozambique
RENAMO yahoji majeshi ya Afrika kuruhusiwa kuingia Mozambique
Chama kikuu cha upinzani RENAMO chahoji katiba kutofuatwa kwa majeshi ya kigeni ya nchi za Afrika kuingia nchini Mozambique. Hoja hiyo imewasilishwa na kiongozi wa upinzani bungeni Bw. Venâncio Mondlane
Nakutaka kikao cha dharura cha Bunge kifanyike ili kijadili hali hiyo Mpya ya majeshi ya nchi kadhaa za kigeni kuingia nchini humo kinyemela bila Bunge kufahamishwa.
RENAMO inasema kuwa katiba ya nchi ya Mozambique haikuzingatiwa ktk suala hilo la kukaribisha majeshi ya kigeni. Ilitakiwa kamati za kudumu tatu za Bunge la Mozambique kuarifiwa kisha kuwakilisha hoja bungeni umuhimu wa kuwepo majeshi ya kigeni nchini humo.
Chama hicho cha RENAMO kimesema hakipingi majeshi ya kigeni kukaribishwa nchini humo, ila utaratibu wa kikatiba wa nchi hiyo lazima uzingatiwe kupitia Bungeni, kwa serikali kwanza kuja mbele ya Bunge na kutoa kusudio la kutangazwa kwa hali ya hatari au vita na hatua hiyo huchukua masaa 24 tu kujadiliwa, kabla ya majeshi ya kigeni kuleta vikosi vyao nchini Mozambique.
Kufuatia mashambulizi ya vikundi vya kigaidi katika jimbo la Cabo Delgado, serikali ya Mozambique imekaribisha majeshi ya kigeni katika jimbo hilo la kaskazini la Mozambique bila kwanza kuitisha kikao cha Bunge cha dharura ambacho ndicho kikao kilichopewa mamlaka kikatiba kusikia haja ya serikali ya Mozambique ikipanga kutangaza hali ya hatari au nchi kuingia vitani.
Renamo calls for respect for the country's constitution
Renamo, the largest Mozambican opposition party, asked yesterday for the convening of an extraordinary parliamentary session for a debate on the presence of foreign forces in the fight against armed groups in Cabo Delgado province, in the north of the country.
08/04/2021 LAST UPDATE 7:00 AM
Main opposition party took the matter to Parliament © Photo by: DR
"Renamo's position is that we should, in fact, have an extraordinary session, due to the urgency of the matter. The body that represents the people should, in principle, debate all the implications of the entry of foreign forces into Mozambique" , said Venâncio Mondlane, rapporteur of the Renamo bench in Parliament.
For Renamo, the procedure used for the entry of foreign troops in the country did not respect the country's Constitution, defending, therefore, that it should "as soon as possible, normalize and legalize” the process.
It is necessary "quickly to present a concrete proposal on what the Government wants, whether it is a State of Siege or a State of War, and, according to the Constitution, the Assembly of the Republic has 24 hours to pronounce itself", added Venâncio Mondlane.
The Standing Committee of the Mozambican Parliament announced on Tuesday that the three parliamentary benches were unanimous in summoning, for the next session, in October, the Government to provide information on the presence of foreign contingents in the country.
Renamo denied yesterday that it had agreed to schedule the matter for an ordinary session in October, noting that an "emergency situation" cannot be debated "in two or three months' time."
"Renamo's position has always been favorable to external military support, as long as the national legal system is respected", explained the bench.
In addition to Renamo, the Democratic Movement of Mozambique (MDM), the third party, had already criticized the Executive for authorizing the presence of foreign military personnel in the country without informing Parliament.
Source: Jornal de Angola - Notícias - Renamo pede respeito à Constituição do país