Rais Samia hana exposure

Rais Samia hana exposure

BIN BOR

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
1,013
Reaction score
407
Rais Samia anadai na hii namsikia mara ya pili au ya tatu, ati uchaguzi ukiisha Marekani panakuwa hakuna mikutano, isipokuwa ya kudai umeme ukikatika.

Wiki chache tu zilizopita Trump alikuwa na mkutano mkubwa wenye malengo ya 2024. Huyu Mzanzibari hajui siasa za dunia.

Screenshot_20210809-233057_Chrome.jpg
 
Tunawashauri viongozi watembelee Jamiiforums kupata taarifa kemkem za kinachoendelea pande zote za dunia waachane na kutegemea TBC , Daily News, Uhuru na vyombo vya Habari corporation online.

Mfano wa habari za kimataifa hapa JamiiForums: Donald Trump atembelea Texas, ulipo mpaka wa Marekani na Mexico

30 June 2021
Weslaco, Texas
USA

Donald Trump atembelea Texas, ulipo mpaka wa Marekani na Mexico​

Donald Trump rais wa zamani wa Marekani atembelea border / mpaka huko Weslaco jimbo la Texas na kupewa taarifa ya ongezeko la makosa yanayovuka mpaka (cross border crime). Eneo hilo la jimbo la Texas lipo jirani na Rio Grande (bonde) valley likipakana na nchi jirani ya Mexico na bahari ya Gulf of Mexico . Vyombo vinavyohusika na ulinzi na usalama wa mpaka wamweleza Donald Trump kuwa changamoto zimeongezeka ktk kipindi cha karibuni.


Former President Donald Trump is in Weslaco, Texas for a Border Security Briefing with state officials and law enforcement.
Source : Global
 
Sio kama hajui kinachoendelea Marekani, Ila yeye katika akili anaamini watanzania hawajui kitu lolote kiongozi akisema wananchi wanaamini.....na ndicho kinachotokea muulize mjinga yeyote asiyejua siasa za Marekani ndivyo atavyojibu kama alivomsikia uyo mama akisema
 
Viongozi msijifungie kwa kusoma magazeti ya chama na serikali tu. Karibuni Jamiiforums kwa habari za kina za kila aina, mfano :

RENAMO chama kikuu cha upinzani Mozambique waikumbusha serikali juu ya katiba

4 August 2021
Maputo, Mozambique

RENAMO yahoji majeshi ya Afrika kuruhusiwa kuingia Mozambique​


Chama kikuu cha upinzani RENAMO chahoji katiba kutofuatwa kwa majeshi ya kigeni ya nchi za Afrika kuingia nchini Mozambique. Hoja hiyo imewasilishwa na kiongozi wa upinzani bungeni Bw. Venâncio Mondlane

Nakutaka kikao cha dharura cha Bunge kifanyike ili kijadili hali hiyo Mpya ya majeshi ya nchi kadhaa za kigeni kuingia nchini humo kinyemela bila Bunge kufahamishwa.

RENAMO inasema kuwa katiba ya nchi ya Mozambique haikuzingatiwa ktk suala hilo la kukaribisha majeshi ya kigeni. Ilitakiwa kamati za kudumu tatu za Bunge la Mozambique kuarifiwa kisha kuwakilisha hoja bungeni umuhimu wa kuwepo majeshi ya kigeni nchini humo.

Chama hicho cha RENAMO kimesema hakipingi majeshi ya kigeni kukaribishwa nchini humo, ila utaratibu wa kikatiba wa nchi hiyo lazima uzingatiwe kupitia Bungeni, kwa serikali kwanza kuja mbele ya Bunge na kutoa kusudio la kutangazwa kwa hali ya hatari au vita na hatua hiyo huchukua masaa 24 tu kujadiliwa, kabla ya majeshi ya kigeni kuleta vikosi vyao nchini Mozambique.

Kufuatia mashambulizi ya vikundi vya kigaidi katika jimbo la Cabo Delgado, serikali ya Mozambique imekaribisha majeshi ya kigeni katika jimbo hilo la kaskazini la Mozambique bila kwanza kuitisha kikao cha Bunge cha dharura ambacho ndicho kikao kilichopewa mamlaka kikatiba kusikia haja ya serikali ya Mozambique ikipanga kutangaza hali ya hatari au nchi kuingia vitani.

Renamo calls for respect for the country's constitution​

Renamo, the largest Mozambican opposition party, asked yesterday for the convening of an extraordinary parliamentary session for a debate on the presence of foreign forces in the fight against armed groups in Cabo Delgado province, in the north of the country.
08/04/2021 LAST UPDATE 7:00 AM

1_257936579610ad88fe4590.jpg

Main opposition party took the matter to Parliament © Photo by: DR


"Renamo's position is that we should, in fact, have an extraordinary session, due to the urgency of the matter. The body that represents the people should, in principle, debate all the implications of the entry of foreign forces into Mozambique" , said Venâncio Mondlane, rapporteur of the Renamo bench in Parliament.

For Renamo, the procedure used for the entry of foreign troops in the country did not respect the country's Constitution, defending, therefore, that it should "as soon as possible, normalize and legalize” the process.

It is necessary "quickly to present a concrete proposal on what the Government wants, whether it is a State of Siege or a State of War, and, according to the Constitution, the Assembly of the Republic has 24 hours to pronounce itself", added Venâncio Mondlane.

The Standing Committee of the Mozambican Parliament announced on Tuesday that the three parliamentary benches were unanimous in summoning, for the next session, in October, the Government to provide information on the presence of foreign contingents in the country.

Renamo denied yesterday that it had agreed to schedule the matter for an ordinary session in October, noting that an "emergency situation" cannot be debated "in two or three months' time."

"Renamo's position has always been favorable to external military support, as long as the national legal system is respected", explained the bench.

In addition to Renamo, the Democratic Movement of Mozambique (MDM), the third party, had already criticized the Executive for authorizing the presence of foreign military personnel in the country without informing Parliament.

Source: Jornal de Angola - Notícias - Renamo pede respeito à Constituição do país
 
Sio kama hajui kinachoendelea marekani, Ila yeye katika akili anaamini watz hawajui kitu lolote kiongozi akisema wananchi wanaamini.....na ndicho kinachotokea muulize mjinga yeyote asiyejua siasa za marekani ndivyo atavyojibu kama alivomsikia uyo mama akisema
Na Kikeke naye mwandishi wa hovyo! Kwa nini asingemkumbusha Samia kuwa anadanganya?
 
Tunawashauri viongozi watembelee Jamiiforums kupata taarifa kemkem za kinachoendelea pande zote za dunia waachane na kutegemea TBC , Daily News, Uhuru na vyombo vya Habari corporation online.
Trumph nae ni mwanasiasa? Si muhuni tu huyo Marekani walimtupa huko kama nyanya mbovu
 
Mh.Rais yuko vizuri sana.

Anaupiga mwingi tu.

Anazijua vyema tabia zetu watanzania...longolongo nyingi zaidi ya vitendo....na nchi inapiga hatua za kimaendeleo kwa VITENDO si mivutano koko ya kisiasa.

#Mh.RaisYukoVizuri
#SiempreSSH
#NchiKwanza
 
Wa kulaumu ni Salim Kikeke.
Sio kama hajui kinachoendelea marekani, Ila yeye katika akili anaamini watz hawajui kitu lolote kiongozi akisema wananchi wanaamini.....na ndicho kinachotokea muulize mjinga yeyote asiyejua siasa za marekani ndivyo atavyojibu kama alivomsikia uyo mama akisema
 
Back
Top Bottom