Mtondoli
Member
- Nov 9, 2021
- 70
- 174
Duniani kote utawala wowote unawekeza nguvu kubwa kwenye kilimo na hata wananchi karibia 78% ni wakulima wanategemea kilimo tu kuendesha maisha yao.
Rais wetu nimefuatilia hotuba zake zote kilimo kwake yeye sio kipaumbele kabisa.
Anazungumzia ujenzi wa miundombinu kama madaraja, reli ununuzi wa ndege. Yuko tayari kukopa kwa ajili ya miundo mbinu sio kilimo.
Mama sisi wakulima huwa tunaamua kuzima tv na redio tunapoona hotuba inaisha haizungumzii Hali ya kilimo nchini.
Kuna siku utauona umuhimu wa kilimo endeleeni kufanya mzaha tutakutana mbeleni.