Rais Samia hana interest na kilimo, wakulima tujifungeni mkanda

Rais Samia hana interest na kilimo, wakulima tujifungeni mkanda

Nyie limeni watanunua tu hakuna asiye na interest ya kula
 
Kipaumbele chake 2022 ni Sensa ya watu na Makazi. Very interested.
Elimu ni jambo muhimu sn hasa Tanzania kama walivyo sema wahenga ELIMU ni ufunguo wa maisha hawa kukosea kabisa ......

SENSA ya watu wako ni kitu muhimu na lazima katika TAIFA lolote linalo hitaji maendeleo ya kweli bila kujua watu wako wapo kiasi gani katika uwiano upi huwezi kufikia malengo yoyote na ndio shida kubwa ktk NCHI nyingi za AFRICA tena TANZANIA ndio TAIFA ambalo miaka 20 ijayo hali itazidi kuwa ngumu kutokana na hali halisi iliyopo sasa ........Sasa hivi tu Watu Million 60 Shughuli mnaiona subirini Mfike MILLION 100 maji mtaita MMA

SEHEMU za kuzikia tu watu manshindwa kuplan mtaweza nini.

Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
 
Fungu moja la mboga litauzwa elfu tano! Tutaheshimiana tu! Si mnaleta mzaha kwenye kilimo?
 
Back
Top Bottom