GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #221
Eti hapa ndiyo Kwanza inabeep....Mkuu umenifanya Nicheke sana.Na hapa ndiyo kwanza inabeep ikichanganya ndiyo tutashuhudia vituko hadi mambo yaharibike sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti hapa ndiyo Kwanza inabeep....Mkuu umenifanya Nicheke sana.Na hapa ndiyo kwanza inabeep ikichanganya ndiyo tutashuhudia vituko hadi mambo yaharibike sana.
Vipi kwenye kujengewa vyoo vya msaada pia wanapata baraka za marais wao au ni "pesa za ndani" mjinga wao?Hotuba bora ya muda wote.
Mlizoea kufanya huu uhuni kwa kila Rais kumbe hata baraka ya Marais wenu hamna
Hebu tujibu hili. Vifo kwa Malaki ya watu na matatizo ya Kongo, Sudan, Libya, West Africa nk hawa weupe tunaowatetea wanahusika au wanasingiziwa ? Sasa kama upande mmoja wa Africa wamehusika kuuwa Malaki ya weusi wenzetu ili wapore mali zetu je, matamshi yao kwamba tunatekwa ni ya dhati ? Yeyote asiyetenda haki hafai. Awe mweupe au mweusi.
Hii comment yako ndugu GENTAMYCINE ,naomba niibebe na kuifanyia lamination, kisha naisambaza kwa vilaza wote humu jamvini.Sasa kama Tanzania ni Sovereign State inakuwaje Kutwa tu inatembeza Bakuli kwa hawa hawa Wakubwa (Marekani) ikiwemo Kuwaomba Misaada mbalimbali? Kwanini kwakuwa tayari ina Jeuri ya kuwa Sovereign State basi isijitegemee yenyewe kwa kila Kitu?
Nikiwa nawaambia Kutwa hapa JamiiForums kuwa 99.999% ya Chawa (Watetezi) wa Rais Samia hamna Akili (poor thinkers) msiwe mnabisha au mnakataa sawa?
Ruhksa kabisa Mkuu na nakuomba anza Kumsambazia Kwanza Mwanafunzi wangu Lucas Mwashambwa kisha usimsahau na Chawa Juha ChoiceVariable sawa?Hii comment yako ndugu GENTAMYCINE ,naomba niibebe na kuifanyia lamination, kisha naisambaza kwa vilaza wote humu jamvini.
Hii kitu huwezi kuielewa mbumbumbu wewe, ni juu ya uwezo wako wa hilo box tupu unaloita kichwa.Wawekezaji na wanasiasa wapi na wapi na lini uliongea na mwekezaji hata mmoja alikwambia kwamba kaanza kuogopa?
Sawa ndugu.Ruhksa kabisa Mkuu na nakuomba anza Kumsambazia Kwanza Mwanafunzi wangu Lucas Mwashambwa kisha usimsahau na Chawa Juha ChoiceVariable sawa?
Halafu hapo ndipo nikashangaa kuwa kumbe inawezekana kwa rais akabanana na wengine kwenye bus, sasa mbona kwenye nchi zao Afrika ni full misafara ya gari zisizopungua mia moja!!??Wakati Uingereza wanamwapisha Mfalme wao,Marais wa Afrika waliswekwa kwenye kibasi wabananane kama kwenye daladalq
Wewe mbumbumbu unafikiri mwekezaji serious ana time ya drama za wanasiasa?Hii kitu huwezi kuielewa mbumbumbu wewe, ni juu ya uwezo wako wa hilo box tupu unaloita kichwa.
Kweli aisee!Kauli yako kuwa Balozi za Kigeni ambazo zilikemea na kutaka Uchunguzi wa Kifo cha Mzee Kibao (ukiilenga hasa Marekani) kuwa zilifanya hivyo bila ya Baraka za Marais wao umeikosea mno Kuisema.
Na ukaenda mbali zaidi kusema kuwa kama kungekuwa na baya basi hao Marais wenye Uwakilishi wao kupitia Balozi zao nchini Tanzania wao wenyewe wangekupigiia.
Yaani Rais Samia pamoja na Urais wako wote huo na hao Wasaidizi wako hujui kuwa Sauti ya Balozi mwakilishi wa nchi ni Sauti ya Rais wa hiyo nchi husika?
Kiufupi ni kwamba huna Watu wazuri wa Masuala ya Kidiplomasia kwani kama ungekuwa nao nina uhakika wasingekuruhusu Kukizungumza hiki Kituko ulichokizungumza leo.
Namalizia kwa Kukushauri tu kwamba ukitaka haya Mataifa ya Kigeni yaache ulichokimaanisha kuwa ni Kihehere chao kwa Kukemea matukio mabaya ya Utekaji na Mauwaji basi nawe hakikisha unaongoza vyema na Kuchukua hatua stahiki kwa haraka.
Na ni matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa baada ya leo Kukerwa nao (haya Mataifa makubwa ukiilenga Marekani) kwa Kukemea matukio mabaya nchini basi hata Wewe (kama Rais) hutotembeza tena Bakuli Kwao kuwaomba Misaada mbalimbali kwakuwa kwa sasa Tanzania ilipofikia chini yako ina uwezo wa Kujitegemea yenyewe Kiuchumi, Kisiasa, Kijamii na tayari imeshaifikia Marekani kwa kila Kitu.
Soma Pia: Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu
Kwa hiyo ,unafikiria mwekezaji ni polisi au jeshi au waziri?mwekezaji ni mimi nduguWawekezaji na wanasiasa wapi na wapi na lini uliongea na mwekezaji hata mmoja alikwambia kwamba kaanza kuogopa?
Hata Mimi nimwekezaji lakini siwezi acha kuwekeza kisa mbowe kazuiwa kuandamanaKwa hiyo ,unafikiria mwekezaji ni polisi au jeshi au waziri?mwekezaji ni mimi ndugu
Kumbe unajua? Kausha Sasa 👇👇Hata Mimi nimwekezaji lakini siwezi acha kuwekeza kisa mbowe kazuiwa kuandamana
Ndio hivyo yaani! Mabalozi wa nje wanajitambua sio Hawa ccm utopolo mtupu!Hahhahahh anataka apigiwe simu na Biden au yule PM wa UK au PUTIN ndio aamini.
Mbona Mbowe cha mtotto ,mimi mwekezaji naogopa wasiojulikana mwenzako kwa kuwa hata Mama hawajui so nikivamiwa kwa ndege na silaa hata pilot na abiria watakuwa hawawajuiHata Mimi nimwekezaji lakini siwezi acha kuwekeza kisa mbowe kazuiwa kuandamana
uliyosema ni ya kweli kabisa wengi tunahofia usalama wetu lakini kiuhalisia raisi wetu wakati mwingine hatumii hekima na busara katika kuongea. Anaweza kutoa maneno mpaka ukashangaa ina maana huyu alikuwa hajui kama yuko mbele ya kamera au anafanya kusudi? Mfano alitoa maneno ya kuidharau katiba wakati ni katiba hiyo hiyo ndiyo inamfanya awe madarakani mpaka sasa. Mambo ni mengi siwez kuandika yote ila mara nyingi huwa anatoa maneno ambayo ukiyapima kulingana na uzito wa cheo chake haviendani ukizingatia jambo lenyewe linakuwa linahusu mstakabali wa taifa.Siyo kama ana Dharau bali ana Dharau halafu hakuna ambacho anakijua. Hivi unaweza kweli Kuwaambia Mabalozi wa nchi kuwa huwaamini wakisemacho na kwamba utawauliza Marais wa nchi zao walikotoka?
Halafu tukisema kwa sasa hatuna Mtu sahihi kama nchi badala ya Kutuelewa wenye Akili na Upeo wa mbali wanaanza Kutuchukia na hata kutukalia Vikao vya Kututeta na Kutuwahisha anakotupeleka Israeli Mtoa Roho akitutwaa.
Wasiojulikana wapo Hadi USA na watu wanaendelea kuwekeza basi wewe lala tu nyumbaniMbona Mbowe cha mtotto ,mimi mwekezaji naogopa wasiojulikana mwenzako kwa kuwa hata Mama hawajui so nikivamiwa kwa ndege na silaa hata pilot na abiria watakuwa hawawajui
Kapumbafu sana , hivi vijitu toka huko visiwani havijawahi kuwa na akili timamu , vinafuata mikumbo tu ya wauwaji wa humo ccm , yaani vinafuata mfumo ulivyo ,hata kama ni wa udhalimu na ukandamizaji wa wananchi na haki zaoKwanza hata sijakaelewa kabisa namna kalivyokuwa kanaongea,eti kwa kofia ya amri jeshi mkuu sjui utopolo nn nin huko,sijui kufa watu kwa kutekwa ni kawaida yaan hotuba ya kijinga kabisa
Eti hatujawah kuwafundsha wao namna ya kuongoza kwann watuseme sisi wakat nchi zao zinamauaji pia,kameshasahau pia kwamba huwa kanaenda kuomba omba huko kwa wakubwa kukopa lakin wao hawajawah kuja kukopa hapa
Ni kama hajui hata maana ya balozi , yeye anaona balozi ni kama machawa wake hao wapumbavu anaowafuga hapo Lumumba kwa pesa za walipa kodi wa hii nchiHahhahahh anataka apigiwe simu na Biden au yule PM wa UK au PUTIN ndio aamini.