Rais Samia hapa ulikosea kidogo na sijui ni nani alikujaza Upepo na ukalisema hili

Kwa nini Waafrika mbumbumbu mnapenda kusingizia wengine kwa matatizo yenu!!??
 
Hii comment yako ndugu GENTAMYCINE ,naomba niibebe na kuifanyia lamination, kisha naisambaza kwa vilaza wote humu jamvini.
 
Wakati Uingereza wanamwapisha Mfalme wao,Marais wa Afrika waliswekwa kwenye kibasi wabananane kama kwenye daladalq
Halafu hapo ndipo nikashangaa kuwa kumbe inawezekana kwa rais akabanana na wengine kwenye bus, sasa mbona kwenye nchi zao Afrika ni full misafara ya gari zisizopungua mia moja!!??
 
Kweli aisee!
 
Wawekezaji na wanasiasa wapi na wapi na lini uliongea na mwekezaji hata mmoja alikwambia kwamba kaanza kuogopa?
Kwa hiyo ,unafikiria mwekezaji ni polisi au jeshi au waziri?mwekezaji ni mimi ndugu
 
Hata Mimi nimwekezaji lakini siwezi acha kuwekeza kisa mbowe kazuiwa kuandamana
Mbona Mbowe cha mtotto ,mimi mwekezaji naogopa wasiojulikana mwenzako kwa kuwa hata Mama hawajui so nikivamiwa kwa ndege na silaa hata pilot na abiria watakuwa hawawajui
 
uliyosema ni ya kweli kabisa wengi tunahofia usalama wetu lakini kiuhalisia raisi wetu wakati mwingine hatumii hekima na busara katika kuongea. Anaweza kutoa maneno mpaka ukashangaa ina maana huyu alikuwa hajui kama yuko mbele ya kamera au anafanya kusudi? Mfano alitoa maneno ya kuidharau katiba wakati ni katiba hiyo hiyo ndiyo inamfanya awe madarakani mpaka sasa. Mambo ni mengi siwez kuandika yote ila mara nyingi huwa anatoa maneno ambayo ukiyapima kulingana na uzito wa cheo chake haviendani ukizingatia jambo lenyewe linakuwa linahusu mstakabali wa taifa.
 
Mbona Mbowe cha mtotto ,mimi mwekezaji naogopa wasiojulikana mwenzako kwa kuwa hata Mama hawajui so nikivamiwa kwa ndege na silaa hata pilot na abiria watakuwa hawawajui
Wasiojulikana wapo Hadi USA na watu wanaendelea kuwekeza basi wewe lala tu nyumbani
 
Kapumbafu sana , hivi vijitu toka huko visiwani havijawahi kuwa na akili timamu , vinafuata mikumbo tu ya wauwaji wa humo ccm , yaani vinafuata mfumo ulivyo ,hata kama ni wa udhalimu na ukandamizaji wa wananchi na haki zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…