Rais Samia hapa ulikosea kidogo na sijui ni nani alikujaza Upepo na ukalisema hili

...... uelewa wowote wa diplomasia.
 
Huyu sindbad atakuwa na wakati mgumu sijui USIND ataufanyia wapi maana keshanyea kambi
 
Wacha tusikie collidors of power ya hizo nchi watasemaje.....
 
Mwisho wa USINDIBADIIIIIIII
 
Marekani wasituchafulie nchi. Kwani sisi tunawaingilia sisi. Msiwe mabwege hivyo
 
Ujumbe wameupata tena mweupeeeee , mengine endeleeni kufanya Uchambuzi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Whether yuko sahihi au hayuko sahihi, Rais wa Nchi anatakiwa kuzungumza yale anayoyaamini hadharani. Na ndiyo maana SSH ni Rais wa JMT.

Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hasemi anayoyaamini wala kuonesha msimamo wake wazi juu ya yale anayoyaamini kwenye kuongoza nchi yake. JPM allifanya, BWM alifanya, JK alifanya na wengine. Kwa kuzungumza leo amefanya jambo la maana japo wahafidhina na wapinzani wake watamkosoa kwenye yale aliyosema lakini muhimu amesema na hakuna mtu angemsaidia kusema.

That is the President we need.
 
Leo mmepigwa za uso naona mnaweweseka na mipango yenu imeshtukiwa. Tanzania ina inteligensia kali sana
 
Nafikiri Rais awe mwangalifu sana katika kuchagua maneno au lugha ya kuongea mbele za hadhara za Watu, asiwe anaamini kila kitu anachoambiwa na wale Watu wanaomzunguka. Sometimes anadanganywa au amekuwa akiambiwa Habari ambazo zimetiwa chumvi Sana. Awe anachuja maneno ya kuongea hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…