PreGE2025 Rais Samia hataki Wabunge wa CCM wanaomchalenji? apaniki baada ya Luhaga Mpina kumwambia ''Kisesa tunakudai''

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hakuna barabara za lami kisesa. Ulitaka awadanganye wananchi???.
 
Huyu mama akipatiwa challenges kidogo,

Anakimbia kupanic
Umeelewa kauli ya anajitafutia ‘umaarufu’” kuna movie villain kabla hajamtoa mtu uhai anamwambia , I will make you famous sijui hii scenario inafanana
 
Inaonekana kweli mkuu wa kaya hapendi kupata upinzani, hata wa maoni.

Zile zilikuwa chuki za waziwazi kabisa na huenda hata akipita mitandaoni anapandisha nyongo ya hali ya juu sana.
 
Kama kudaiwa ni hatia hata kukopa tuache sasa 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…