Rais Samia hatuhitaji tena ziara zako za barabarani, hazina msaada wowote kwetu

Sawa ni KATIBA
Sasa mtu kutekeleza jukumu lake kwa wakati Katiba hapo inaiingiaje!? Mbona kuna wengine ndani ya hizo hizo office za Umma wanatimiza wajibu wao na kazi zao kwa wakati!!?
 
Ngoja tuone... Kama alisema hivyo wataendelea kumsumbua huyo mama...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…