Rais Samia hautafanikiwa kuipoteza CHADEMA, nakuhakikishia hilo

CCM ni jini makata,lililo juu ya uso wa Tanzania,na tumeanza kulikatakata
 
YUPO HAI. SO AMEFANIKIWA. IKIWA MNADAI KILA ANAYESHINDANA NA CDM ANAKUFA. HUO NI UONGO.
Hakuna anayedai kuwa anayeshindana na chadema anakufa, isipokuwa yule aliyeapa kufuta kwa ununuzi, kutumia DEDs, polisi, DCs n.k akaja kufutika mwenyewe. Point hapa ni kwamba CDM ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo bila kujali yoyote ile juu yake.
 
Nazijua Ratiba za watu waovu Kama CCM,waovu hufa kabla ya muda wao kufika,umesikia wewe takataka?
Kumbe wewe ni DELUDED....

Kwa hiyo wachawi hufa wakiwa vijana?!!

Huo muda usemao ni muda gani unaoujua wewe " ndwanye" msukure wa Mbowe?!!
 
Nazijua Ratiba za watu waovu Kama CCM,waovu hufa kabla ya muda wao kufika,umesikia wewe takataka?
Kwa hiyo kipimo cha muda wa mtu kuishi kwako wewe ni kumaliza madaraka? Yule Mbunge wa Kigoma, Dr Bilago wa Chadema naye alikuwa muovu?
 
Chadema kinajimaliza chenyewe sana mtu kama Mdude naye ni sehemu yenu mnategemea nini hapo ?

Dkt Slaa arudi kuokoa jahazi maana linakwenda kuzama
 
Chadema kinajimaliza chenyewe sana mtu kama Mdude naye ni sehemu yenu mnategemea nini hapo ?

Dkt Slaa arudi kuokoa jahazi maana linakwenda kuzama

Nipe tofauti ya Mdude na yule dhalimu aliyesema watu wabaki na mavi yao nyumbani.
 
Hahitaji kuwa Rais. Kapambana sana na chadema kulijo hata rais magufuli.

Kapambana yeye au alikuwa anatuma watu wasiojulikana kutupa mabomu kwenye mikutano ya cdm? Mwambie aingie siku field kupambana na hao Cdm, kisha uje kuleta mrejesho hapa jukwaani.
 
Watapita wanachama wote walio sasa....CCM ITABAKI.....

KUMSHAMBULIA kidharau mwenyekiti wetu wa CCM ni kukishambulia CHAMA na kila mmoja wetu......


GWAJIMA AFUKUZWE CCM
Aliyemuweka ndie mwenye password ya kumuondoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…