My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,306
- Thread starter
- #41
CCM ni jini makata,lililo juu ya uso wa Tanzania,na tumeanza kulikatakataHuyu mama aliishatangazwa "Dead On Arrival" toka siku ile alipoapishwa kushika hatamu za uongozi.
Ccm wanaamini njia pekee ya kuweza kuwafanya waendelee kung'ang'ania madarakani ni kutawala kiimla kwa kutumia polisi, tume yao ya uchaguzi na usalama wa taifa.
Kuwakumbusha tu ni kwamba hata iliyokuwa USSR ilikuwa na hivyo vyombo tena vya kutisha acha hawa waganga njaa wao lakini bado utawala wao ulisambaratika vibaya.