Pre GE2025 Rais Samia hawezi kushinda 2025, hawatathubutu kumpa kadi kugombea Urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Afya ya akili
 
Acha uwongo, mama analindwa na Kila mmoja.
Unaandika uongo mpaka akili na vidole vinashindwa kukubaliana.
Ulitaka kuandika "anapendwa", lakini vidole vimeandika "analindwa"!
 
Hii nchi kusipokuwa na wizi wa kura, ccm mapema tu ananyang'anywa nchi, kwa upinzani uwepo wa chura kiziwi ni faida. Hajawahi kutusaidia Watanganyika tofauti na kutuibia rasilimali zetu.
 
Tena naomba hili mama lishindwe kabisa halifai hata kidogo
 
Upo sahihi kabisa!!

Ukienda kule vijijini ndani kabisa ndo utashangaa namna ambavyo hata kina mama wazee wasivyotaka hata kusikia jina lake!!

Na huenda analijua Hilo ndo maana wameajiriwa Machawa wengi. Bahati mbaya Machawa ndo wanakitia zaidi chumvi kidonda
 
Unadhani nani anweza kumnyima mama kura.? Amefanya mazuri mengi, Leo hiii mnapita mnabwabwaja hovyo mitaani si ni huruma yake, Acha bangi dada
2025 hatutaki madalali wanouza Mali za BARA. Kama Bandari,mbuga za wanyama, na Kufukuzwa watanzania wanaovaa shuka za draft dogdog kwenye ardhi yao ya asili na kuwapeleka UTUMWANI MSOMERA.

Ni wakati wake akapunzike KIZIMKAZI 😅 😅
 
Nina wafahamu wanachama wa ccm mamia ambao hawako tayari kumchagua 2025
 
Mkishapigwa ooh tumeibiwa wakati serikali za mitaa tu hamna mnachoambulia, akili za chadema wakati mwingine vichekesho tu
 
Rais wenu 2025 ni JANUARY MAKAMBA Mtake mstake, ndo hivo tena
 
Usikaliri mkuu, hata supu huungwa!

Na jana siyo leo chief
Hamna kitu ,chadema bado sana mziki upo zanzibar kwa act, ila huku ni kelele tu ila majority huwa wana imani na ccm kuliko taasisi ya familia chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…