ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Huu ni uongo,Wana ccm ndio wanakiri kwamba Samia ndio Rais wa kwanza kutekeleza ilani Kwa Ukubwa zaidi.Kwa mjibu wa ilani ya ccm, mambo waliojiwekea kuyatekereza, na waliyowaahidi wananchi, imetekerezwa 27% tu
Tunaanza vipi kumpa kura tena huyo maza wako mkuu?
Hayo ya 27% wewe umeyatoa wapi? Acha uzushi basi,chuki,fitina na majungu hata kama hupendi Kwa sababu binafsi.
Anaanza ziara Nyanda za Juu Kusini stay tuned uone utiti wa miradi atakayozindua na kuwekaawe ya msingi.