Pre GE2025 Rais Samia hawezi kushinda 2025, hawatathubutu kumpa kadi kugombea Urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu
Tatizo la chadema lipo hapi, yoyote anaopingana na mawazo yao wanamuona adui, hata zito alipotaka kugombea uenyekiti aluonekana adui
Halafu unategemea kuna mwananchi mwenye akili timamu awape kura , hapo hamna power yoyote mmejawa na viburi na udikteta ,eti leo ndio tuwape nchi, mnaota nyie
 
mpumbavu ni anayeamini eti chadema ikishika nchi shida zake zitaisha, pambana bro hizo ni biashara za wanasiasa hawawezi kubadilisha maisha yako
Ni kwamba, ccm kumezaliana kizazi cha mafisadi tupu

Hakuna mwema kule chief
 
Ni kwamba, ccm kumezaliana kizazi cha mafisadi tupu

Hakuna mwema kule chief
Hizo ni imani potofu tu ,sasa huku na kuke kwenye mwenyekiti wa milelele ,halafu anataka tumpe dola acheni utani na maisha ya watanzania
 
Mpaka picha ya mwenyekiti inachomea moto watu wamechoka

Hiyo ni ishara kuwa tuendako siyo

Wapo kina Lucas wanakenua tu na sifa za kijinga
 
Msikimbilie huko mangi. Ujueni Ukweli ili mlio karibu na Maza mmsaidie
Najua unanielewa ila hutaki kiamini

Urais siyo mtu, ni machinery

Na bahati mbaya opposition ya sasa is the weakest
 
Unadhani nani anweza kumnyima mama kura.? Amefanya mazuri mengi, Leo hiii mnapita mnabwabwaja hovyo mitaani si ni huruma yake, Acha bangi dada
Kupita kubwabwaja ni haki ya raia wala sio upendeleo wa rais. Isitoshe sio cha msingi raia anapigania. Kama una uhuru kubwabwaja kuhusu dhuluma, kukosa haki na usawa kijamii na kiuchumu huo uhuru unasaidia nini?
 
Kusema Dini haina influence kwa nchi kama ya Tanzania ni unafiki na kuukimbia uhalisia, Dini ina influence kubwa , niambie mkuu unadhani kipi kitatokea kama ikitokea CCM wakaweka wagombea wa dini moja awamu mfululizo??
Hii mbinu kubadilishana uongozi kiimani ni njia moja wapo ya kuzuia udini usichipukie tu, ila Mzizi upo
 
Bi mkubwa tunaye mzee hujaona bodaboda na mabango nchi nzima.
 
Bi mkubwa tunaye mzee hujaona bodaboda na mabango nchi nzima.
Hayo mabango ni ishara ya yeye kutofahamika kwa wananchi, Ni rais aliyejiweka kwenye possession ya mgombea wa upinzani ilihali yeye ndiye Rais

Anamashaka iwapo wananchi wanamfahamu
 
2025 hatutaki madalali wanouza Mali za BARA. Kama Bandari,mbuga za wanyama, na Kufukuzwa watanzania wanaovaa shuka za draft dogdog kwenye ardhi yao ya asili na kuwapeleka UTUMWANI MSOMERA.

Ni wakati wake akapunzike KIZIMKAZI 😅 😅
Haujitambui wewe
 
Labda kama wewe ndio una chuki zako binafsi ila Mimi Niko na mama Mia Kwa mia.

Yaani huyo mwingine unaemtaka wewe aje Kwa lipi hasa atakaloongeza ambalo Sasa hivi limepungua?

Sasa wewe Samia vs Magufuli ungemchagua Magufuli? Kwa kipi Cha maana kwenye maisha alichoweka hasa?
 
Mwambie basi agombee chama tofauti na ccm halafu tuone huko kupendwa kwake.
Kwa nini wanaopendwa wao wasigombee chama tofauti na CCM?

Mnajaribu ku undermine Samia kisa Mzanzibari si ndio?

Rais yupi amewahi deliver kumshinda Samia au nyie mna vigezo vyenu vya Urais? Tujuze basi
 
Kwa nini wanaopendwa wao wasigombee chama tofauti na CCM?

Mnajaribu ku undermine Samia kisa Mzanzibari si ndio?

Rais yupi amewahi deliver kumshinda Samia au nyie mna vigezo vyenu vya Urais? Tujuze basi
Kwa sababu ukigombea kupitia ccm hata kama haupendwi bado una nafasi kubwa ya kushinda, watu wanaangalia chama zaidi. Kama Samia anaamini anapendwa agombee nje ya ccm kama Lowassa halafu tuone.
 
We ni kilaza
 
Kwa mjibu wa ilani ya ccm, mambo waliojiwekea kuyatekereza, na waliyowaahidi wananchi, imetekerezwa 27% tu

Tunaanza vipi kumpa kura tena huyo maza wako mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…