Rais Samia hawezi kushinda urais 2025 kirahisi kama Wakurugenzi na Tume ya Uchaguzi watadhibitiwa

Rais Samia hawezi kushinda urais 2025 kirahisi kama Wakurugenzi na Tume ya Uchaguzi watadhibitiwa

Kwa taarifa yako CCM wanataka CDM isisue uchaguzi ili ipite kirahisi maana imechoka kushindina, na inaona aibu kushindwa na cdm. Ni kweli idadi ndogo ya wapiga kura haiwafurahishi ccm, lakini kwakuwa wanaendelea kukaa madarakani wanakomaa hivyo hivyo. Hivyo CDM wakigomea uchaguzi ni sherehe kwao, maana watakuwa na vyama vyao mapandikizi ili kutakatishia huo uchaguzi.

Kwa katiba hii ilivyo uchaguzi una maslahi kwa CCM zaidi, wakishaingia madarakani ndio wanaanza kuhubiri maslahi ya taifa. Kwao uchaguzi sio maslahi ya taifa bali ya chama. Maslahi ya taifa watayahubiri wakishakaa kwenye mzinga wa asali.
Wananchi tutapiga KURA ya WAZI, hahahaaaaaaa!
 
Stupid gay man
Mwa
Nchi yangu TANZANIA imepitia wakati mgumu sana ktk siasa zake, Chama Dola pia kimegawanyika makundi makundi,bt yenye nguvu ni makubwa mawili.

KATIBA mpya ndio njia pekee ya kuondoa mpasuko huo ndani ya CHAMA. In other way naeza Sema CCM wanahitaji Katiba mpya kuliko hata vyama vya upinzani na makundi mengine.

Mwl Nyerere alikuwa na uwezo mkubwa wa kuona ya MBELENI kuliko viongozi wengi waliopo sasa.

Kuingia ktk Uchaguzi mamlaka ya Rais yakiwa pale pale Kwa mlango wa tume kuwa huru, wakati huo huo matokeo ya urais hayahojiwi mahakamani, na Rais hashtakiwi Kwa makosa yoyote aliyofanya akiwa madarakani ni tunajidanganya, yaani tuendelee kuitumbukiza Nchi SHIMONI bila kujali vizazi vijavyo.

Nawasihi Kwa la MUNGU Alie hai, msiwaze vyeo vya kisiasa pekee, Amani muionayo ilitengenezwa, zamani viongozi walichukia RUSHWA Kutoka moyoni, Msisubiri mabaya yatokee ndo mrekebishe, fanyeni sasa NCHI ISIANGAMIE. Amen
Mama atosha
 
Mama samia ni kiongozi hasa amewaonesha wa bara uongozi sio kikurupuka ovyo majukwaani!!!amefuta ukabila,amefuta umungu MTU,ameondoa dhuluma!!!
Washamba na malimbukeni tupa kuleeeeeeee
Mama atosha
 
Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.

Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.

CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio watamnyima kura. Changanya na raia wa kawaida ambao tangu arithi urais kwao ni tabu tu maana hata wauza karanga wanamchukia kwa magumu wanayopata.

Sasa hapo ndio ashinde Urais?
Alishinda magufuli na huku wananchi wakilalamika kuwa vyuma vimekaza! Mama atashinda kwa kishindo kizito mnoooo!!
 
Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza.

Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda.

CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio watamnyima kura. Changanya na raia wa kawaida ambao tangu arithi urais kwao ni tabu tu maana hata wauza karanga wanamchukia kwa magumu wanayopata.

Sasa hapo ndio ashinde Urais?
May be "YES"
May be "NO"

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom