Rais Samia, haya mambo ya kupotea watu ni doa kwenye serikali yako

Usiwe unajibu hoja ya mtu bila kuelewa. Ulichoandika inaonekana au huwa husomi, au huna uelewa.

Nimeeleza kuwa mfumo wa kuteka na kuua watu, ni dhahiri haukuasisiwa na Magufuli, lakini bila shaka aliuimarisha, maana kipindi chake mauaji na utekaji, yaligeuka kuwa matukio ya kawaida, lakini hata huko nyuma yalikuwepo ingawa siyo kwa kiwango kikubwa kama wakati wa Magufuli.

Unakimbilia kuita watu wapumbavu. Mwendawazimu, kitu asichokiweza ni kijenga hoja. Watu wenye uwendawazimu, hata wanaopita wanaokota makopo majalalani, wanachoweza ni kutukana. Ukiona unapenda sana kutukana, ni dalili mojawapo kuwa umeanza kufikiwa na magonjwa ya akili, wahi hospitali.
 
Huyo hajui! Chacha wange,Dr Mvungi,mwandishi wa habari Mwangosi, Mauaji ya albino, Kutekwa kwa Dr ulimboka,Kifo cha Amina chifupa baada ya kutishia kutaja wauza ngada! ujambazi kila kona ya nchi,mauaji ya waandamanaji arusha n.k Huyo taahira achana nae! Ni moja ya wapumbavu kila Siku Magufuli mitandaoni hata akishindwa kumpa mimba mke wake anasingizia Magufuli!
 
Anayekula nyama ya mtu haachi - JK NYERERE
 
Waliajiriwa miaka 5 tu iliyopita??? Wale waliopiga bomu likasambaratisha kabisa mwili wa mtu pale iringa wao pia waliajiriwa na jiwe sio, yule kiongozi wa Dr nae pia alikuwa jiwe?? Eti kubambikia watu kesi, kesi zimeisha sasa??
Soma vizuri. Nimesema siamini mfumo wa utekaji na kuua watu uliasisiwa na Magufuli bali wakati wa utawala wake ulihuishwa na kuimarishwa sana, ndiyo maana wakati wake utekaji na mauaji ya watu wenye mlengo fulani, vilishamiri sana.

Lakini hata kabla yake, hawa wauaji, na bila shaka mfumo wenyewe, bilikuwepo. Lakini watangulizi wake walifanya kwa woga na kwa kiwango kidogo. Magufuli alifanya kwa uwazi na kwa kiwango cha kutisha.

Ulimsikia Bashe? Anasema kuwa baada ya kulalamikia Bungeni juu ya vitisho vya 'Wasiojulikana', na kumalizia kwa kusema kuwa haogopi kufa, Magufuli alimpigia simu saa 8 usiku na kumwuliza, wewe ndiyo umesema huogopi kufa? Nadhani unanielewa. Hakuna mtawala aliyewahi kufanya hivyo kabla yake.
 
Taja hata watu watatu waliouliwa hadharani wakati wa Magufuli? Kama hutataja wewe ni taahira tu!
 
Hebu wasambaratishe hao sukuma gang kwa kuweka walau listi ya watu 5 waliouliwa na marahemu ukiambatanisha na ushahidi wa kuhusika kwake
 
Matatia akili tu!
.
Si mnapumua nyie
 
Ukishamiri ukilinganisha na nani kwa takwimu zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…