Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Usiwe unajibu hoja ya mtu bila kuelewa. Ulichoandika inaonekana au huwa husomi, au huna uelewa.Acha upumbavu wako! Hata wakati wa kikwete watu walikuwa wanauliwa kama mwanahabari Mwangosi, Dr Mvungi,Mtikila pia alipata ajali ya ajabu ajabu pia Dr Ulimboka alitekwa,mauaji ya waandamanaji Arusha, Jeshi la polisi kuua wauza madini Morogoro na matukio ya ujambazi kila kona ya nchi! Wewempumbavu unakuja kuongea ujinga hapa! Huyo bibiako mbona kila siku misiba ya mauaji? Basi sema anawaua Rais Samia!
Nimeeleza kuwa mfumo wa kuteka na kuua watu, ni dhahiri haukuasisiwa na Magufuli, lakini bila shaka aliuimarisha, maana kipindi chake mauaji na utekaji, yaligeuka kuwa matukio ya kawaida, lakini hata huko nyuma yalikuwepo ingawa siyo kwa kiwango kikubwa kama wakati wa Magufuli.
Unakimbilia kuita watu wapumbavu. Mwendawazimu, kitu asichokiweza ni kijenga hoja. Watu wenye uwendawazimu, hata wanaopita wanaokota makopo majalalani, wanachoweza ni kutukana. Ukiona unapenda sana kutukana, ni dalili mojawapo kuwa umeanza kufikiwa na magonjwa ya akili, wahi hospitali.