Kiturilo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2021
- 708
- 2,859
Rais Samia akihutubia kwenye hafla ya utiaji saini mkataba wa uchimbaji madini amesema moto uliowashwa na hayati rais Magufuli kwenye sekta ya madini hautazimika na Tanzania haitarudi nyuma tena kulala usingizi wa pono kama zamani.
Rais amewaonya wote wanaotorosha madini waache mara moja.
My take:
Hivi Nape anajisikiaje kila mara kuona rais Samia anataja jina la godfather wa kiroboto?
Rais amewaonya wote wanaotorosha madini waache mara moja.
My take:
Hivi Nape anajisikiaje kila mara kuona rais Samia anataja jina la godfather wa kiroboto?