Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Magufuli hakuwa na huu urojo wa kusema waacha mara moja. Madini yanatoroshwa Kwa speed ya Aina yake .wananchi tulie na Rais nae apige mayoweEti anawataka wanaotorosha madini waache mara moja😆🤦🏾♂️
Ni sawa na kuwataka majambazi waache ujambazi mara moja kwasababu umeshindwa kuwakamata!
Kuhusu kumtaja mwendazake, hizo ni politics zake za kuogopa kundi la wale walokuwa wakimuumga mkono mwendazake.