Rais Samia: Hayati Magufuli ndiyo aliuwasha moto kwenye madini

Rais Samia: Hayati Magufuli ndiyo aliuwasha moto kwenye madini

Hata tunapomsifia Mwalimu Nyerere wapo wanaokumbuka walivyoporwa kwny Azimio la Arusha, wapo wanaokumbuka unyama wa operation Vijiji vya Ujamaa, wapo wanaokumbuka ya April,7 1972, wapo wanaokumbuka ya April, 14 1984

Hatuwezi kuacha kumsifia mtu kwa Mema yake kwa kuwa pia ana madhaifu yake

John Magufuli kalifanyia mengi makubwa na mazuri Taifa hili hilo halitegemei comments za Viroboto wala za wahuni
Kwa hiyo tunapotaja madhaifu yake mjue tuna haki sawa na wanaotaja sifa zake.
 
Rais Samia akihutubia kwenye hafla ya utiaji saini mkataba wa uchimbaji madini amesema moto uliowashwa na hayati rais Magufuli kwenye sekta ya madini hautazimika na Tanzania haitarudi nyuma tena kulala usingizi wa pono kama zamani.

Rais amewaonya wote wanaotorosha madini waache mara moja.

My take:
Hivi Nape anajisikiaje kila mara kuona rais Samia anataja jina la godfather wa kiroboto?

Wewe kinachokushangaza ni hao akina Nape na Kiroboto?

Huwezi kamwe kushangazwa na hiyo taarifa ilivyowasilishwa na mwasilishaji mwenyewe?

"Rais amewaonya wote wanaotorosha madini waache mara moja"!

"Moto uliowashwa na hayati rais Magufuli kwenye sekta ya madini hautazimika na Tanzania haitarudi nyuma tena kulala usingizi wa pono kama zamani"

Hiki cheo cha urais kimekosa maana kabisa.
 
Yes, uko sahihi kutaja madhaifu yake, tatizo linakuja ni pale mnapotaka tusimsifu Hayati Magufuli kwa Mazuri aliyofanya kwa kuwa kuna Mabaya alifanya, mkitaka tutumie Kanuni hiyo hata Nyerere hatosifiwa kwa kuwa nae ana madudu yake mengi tu na mengine yanalitesa Taifa hadi leo
Kwa hiyo tunapotaja madhaifu yake mjue tuna haki sawa na wanaotaja sifa zake.
 
Eti anawataka wanaotorosha madini waache mara moja😆🤦🏾‍♂️

Ni sawa na kuwataka majambazi waache ujambazi mara moja kwasababu umeshindwa kuwakamata!

Kuhusu kumtaja mwendazake, hizo ni politics zake za kuogopa kundi la wale walokuwa wakimuumga mkono mwendazake.
Huo mstari wa mwisho.
Sijui ataendelea kufanya hivi hadi lini, maana inaonekana kila mara anajichanganya mwenyewe na matamshi yake haya. Hata hao walengwa mwishowe watapata akili za kujuwa ulaghai uliomo kwenye maneno hayo.
 
Rais Samia akihutubia kwenye hafla ya utiaji saini mkataba wa uchimbaji madini amesema moto uliowashwa na hayati rais Magufuli kwenye sekta ya madini hautazimika na Tanzania haitarudi nyuma tena kulala usingizi wa pono kama zamani.

Rais amewaonya wote wanaotorosha madini waache mara moja.

My take:
Hivi Nape anajisikiaje kila mara kuona rais Samia anataja jina la godfather wa kiroboto?

Nikimwaangalia mama najua dakika ya 85 tumefungwa Tatu bila duuh Yahwe tusaidie
 
Back
Top Bottom