Rais Samia: Hayati Magufuli ndiyo aliuwasha moto kwenye madini

Mwamba magufuli huwezi linganisha na mkwere mwenye roho mbaya Sana mtu asiyeridhika na kukosa uzalendo na inchi yake na anakaambukiza tabia mbaya haka ka sasahivi.
 
Rais Samia akihutubia kwenye hafla ya utiaji saini mkataba wa uchimbaji madini amesema moto uliowashwa na hayati rais Magufuli kwenye sekta ya madini hautazimika na Tanzania haitarudi nyuma tena kulala usingizi wa pono kama zamani.

Rais amewaonya wote wanaotorosha madini waache mara moja.

My take:
Hivi Nape anajisikiaje kila mara kuona rais Samia anataja jina la godfather wa kiroboto?

hii nzuri sana, kuna mambo huwezi kudepart from what he pioneered.RIP JPM
 
Mwamba magufuli huwezi linganisha na mkwere mwenye roho mbaya Sana mtu asiyeridhika na kukosa uzalendo na inchi yake na anakaambukiza tabia mbaya haka ka sasahivi.
Uzalendo ndiyo nini? Kupendelea Kijiji chako kwa kujenga miundonbinu mikubwa na kuwapa vyeo watoto wa dada zako? Ditto James? Heri James? Alexander Mnyeti, Makonda
 
Kundi la watu wenye pesa na tunaouchukia umasikini na unyonge, wewe je?

kundi la wenye pesa hawachukii umasikini ila wanauogopa.

na walimuunga mkono jpm,maana kwa hakika alikuwa anautaja sana.
 
Eti anawataka wanaotorosha madini waache mara moja😆🤦🏾‍♂️

Ni sawa na kuwataka majambazi waache ujambazi mara moja kwasababu umeshindwa kuwakamata!

Kuhusu kumtaja mwendazake, hizo ni politics zake za kuogopa kundi la wale walokuwa wakimuumga mkono mwendazake.
Umemaliza ndugu! 👊👊🏾
 
kundi la wenye pesa hawachukii umasikini ila wanauogopa.

na walimuunga mkono jpm,maana kwa hakika alikuwa anautaja sana.
Walio muunga mkono Jiwe nadhani hata wewe unawajua ni watu wa aina ganj, sipendi kurudia kuwataja mana hata Twaweza waliwahi kusema ukweli huo wakajikuta matatizoni. Ila nachoweza kusema wewe ni mmoja wao uliyemuunga mkono, sasa jiangalie wewe ni mtu wa aina gani then utapata picha.
 
jiwe aliingwa mkono na masikini wengi ambao ni majority almost 90%na matajiri wachache ambao utajiri wao sio wa michongo.

ila matajiri wa kujisemea kama wewe ilikuwa ni balaa tupu.sababu ya kuujenga utajiri wao ktk misingu mibovu waliondoka ktk ramani za ukwasi jumla,ndio sababu mpaka sasa wana hasira.
 
Hao wasikini aliwasaidia nini zaidi ya kuwapa jina la wanyonge? Au wewe ulinufaika na nini baada ya kupewa jina mnyonge?
 
unaelewa maana ya neno mnyonge!!!au hulipendi na huna namna ya kufanya!!!

leo hii machinga wamefukuzwa sababu tu mitaji yao midogo hawana uwezo wa kupanga frem rasmi ya biashara,unadhani mnyonge ni mtu wa namna gani??
 
Hujajibu swali, tofauti na kupewa jina la mnyonge, je masikini mlipata faida gani yenye tija?
 
kama hujaiona faida hapo nilipoandika hata huo utajiri ulio nao utakuwa wa kuuza viuongo vya mwili wako.
 
Nakuona unazunguka tu, kama faida ipo mbona huitaji unaishia kunitukana tu, nikisema umefirisika kwa hoja utakataa?
 
Back
Top Bottom