Rais Samia: Hayati Magufuli ndiyo aliuwasha moto kwenye madini

Kwa hiyo tunapotaja madhaifu yake mjue tuna haki sawa na wanaotaja sifa zake.
 
Wewe kinachokushangaza ni hao akina Nape na Kiroboto?

Huwezi kamwe kushangazwa na hiyo taarifa ilivyowasilishwa na mwasilishaji mwenyewe?

"Rais amewaonya wote wanaotorosha madini waache mara moja"!

"Moto uliowashwa na hayati rais Magufuli kwenye sekta ya madini hautazimika na Tanzania haitarudi nyuma tena kulala usingizi wa pono kama zamani"

Hiki cheo cha urais kimekosa maana kabisa.
 
Mama kumtaja JPM katika issue ya kupigania madini bila shaka atakuwa amemuudhi sana yule MHUNI wa Mtama.
 
Yes, uko sahihi kutaja madhaifu yake, tatizo linakuja ni pale mnapotaka tusimsifu Hayati Magufuli kwa Mazuri aliyofanya kwa kuwa kuna Mabaya alifanya, mkitaka tutumie Kanuni hiyo hata Nyerere hatosifiwa kwa kuwa nae ana madudu yake mengi tu na mengine yanalitesa Taifa hadi leo
Kwa hiyo tunapotaja madhaifu yake mjue tuna haki sawa na wanaotaja sifa zake.
 
Huo mstari wa mwisho.
Sijui ataendelea kufanya hivi hadi lini, maana inaonekana kila mara anajichanganya mwenyewe na matamshi yake haya. Hata hao walengwa mwishowe watapata akili za kujuwa ulaghai uliomo kwenye maneno hayo.
 
Nikimwaangalia mama najua dakika ya 85 tumefungwa Tatu bila duuh Yahwe tusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…