Ndiyo maana nakwambia sheria ifatwe kwa yeyote awaye, kama unaamua kuwa mnyonge ukijua sheria itapindishwa ukajenge kibanda cha kuuza maji sehemu yeyote litakuja kukuumiza hilo. Usipotumia akili utatapeliwa kama mlivyotapeliwa na Jiwe, akifa utarudi kulia tena humu. Chukia umasikini zaidi hata ya CCM utafika mbali.
Kingine, hujui kuwa kuna levels when it comes kwenye ishu za utajiri, au unajua kila mtu akisema ni tajiri basi yuko level za Bill Gate au Mo?
Matajiri wote wanategemea sera rafiki kufanikiwa, kukua, kama Wananchi wote popote pale duniani.
Kodi, masoko, bei za chakula, mafuta,ajira, elimu, afya, usafiri zinaratibiwa na serikali.
Sera, mazingira wezeshi ni kila kitu. Tesla wanaenda Texas kutoka California sababu ya Mazingira wezeshi, kodi rafiki. Sera zinazoeleweka.
Mo Dewji, Bakhresa, Diamond, Vunjabei enzi za Nyerere wasingetoboa.
Elewa nachotaka ujue ni kuwa mimi sipendi huo umasikini /unyonge wako ndiyo mana nakupa ushauri wa kuacha kujiita mnyonge, jiamini na waza mambo makubwa kuliko kuwaza mambo ya banda la kuuzia maji baridi, ukiacha ushabiki na kufata haya ninayokushauri utafika mbali na hata afe/azeeke nani still utajisimamia kwa miguu yakomimi ninachojua hakuna tajiri yeyote atakayekwambia mimi ni tajiri.
level nafahamu zipo,ila matajiri wa michongo huwa wanatetereshwa na chochote tu.
Kingine acha kuwa na negative mind set, be humble and positive person. Jiwe amekufa na wewe ulikosea kujiita mnyonge basi, move on, chukulia kama bad experience uliyopitia sababu ya kutokuwa na taarifa sahihi.sheria ikifatwa vyema mtaumia wengi,ila mmapata ashki sababu wanaoguswa ni wafuasi wa jiwe awamu hii,kwa vile tunaelewa kinachowapa orgasm hatuna wasi wasi na hilo,muda wa kilio na yowe wala hauko mbali tena.
Elewa nachotaka ujue ni kuwa mimi sipendi huo umasikini /unyonge wako ndiyo mana nakupa ushauri wa kuacha kujiita mnyonge, jiamini na waza mambo makubwa kuliko kuwaza mambo ya banda la kuuzia maji baridi, ukiacha ushabiki na kufata haya ninayokushauri utafika mbali na hata afe/azeeke nani still utajisimamia kwa miguu yako
Kingine acha kuwa na negative mind set, be humble and positive person. Jiwe amekufa na wewe ulikosea kujiita mnyonge basi, move on, chukulia kama bad experience uliyopitia sababu ya kutokuwa na taarifa sahihi.
sasa inakuwaje tajiri A anatoboa,kapuku B analalamika mazingira wezeshi???
Wakati wa utawala wa Hitler, USSR, Iddi Amini, North Korea, Rwanda leo (Kagame), Uganda leo (Museveni) unafikiri ungetoboa sababu bidhaa zako ni za viwango, nzuri kuliko wote.
Kwanini unafikiri mfanyabiashara, makampuni makubwa yatatoa michango kwa vyama tawala, serikali, taasisi za serikali.
Wanachangia wabunge, vyombo vya habari vyenye ushawishi mkubwa kwenye nchi?
Haya mawazo ya namna hii ndiyo ujinga wenyewe na siyo ya mwananchi mzalendo.hakuna mtu asiyependa pesa,kinachozuia mtu asiibe pesa ni sheria kali ama ukali wa kiongozi wa nchi.
huyu anayesema wezi waache mara moja kutorosha madini tusitegemee maajabu kwake.
Haya mawazo ya namna hii ndiyo ujinga wenyewe na siyo ya mwananchi mzalendo.
Lazima tujenge utamaduni wa kuaminiana na kuridhika katika hali ya kawaida.
Anayewaza wengine wezi ana msingi wa wizi ndani yake.
Ili kuondokana na wizi tuwezeshe wananchi wenye mawazo chanya, tuwape nafasi. Serikali ikishirikiana sekta binafsi inaweza kudhibiti wizi wa wageni.
Watumishi wa serikali huwa hawana maamuzi huru na na ni waoga kwa wanasiasa.
Lazima kuwajengea wananchi ownership kwa kuwa serikali inapita lakini wananchi watakuwepo vizazi hadi vizazi.
tena sera moja wapo ya hitler ilikuwa ni hii,tengeneza bidhaa bora yoyote kuliko uliyowahi kuitengenez kipindi hicho ikazaliwa mercedes.
huyo mwenzako hapo juu nimemwambia hakuna tajiri anayetetereshwa na utawala ukiona tajiri wa hivyo kisha anabaki kulia lia kama yeye ujue ni wa mchongo.
Kama uko field chukua hatua za kuanza kuelimisha wenzako mbadilishe fikra za kumtegemea kiongozi badala yake ninyi muwasaidie viongozi kudhibiti kwa kuwa wao hawapo field.wewe unadhani nawaza kumbe mwenzako niko field naoma ninayokwambia hapa.
mawazo chanya na kuamini watu kwa kigezo hicho haitoshi,inahitajika watu kujitoa kwa hali na mali kusimamia mali na kuzilinda kizalendo zisiibwe na wageni.
shida ni kwamba kuna buu wa kutosha wanaoshirikiana na wezi wa nje mpaka kuhalalisha wanayoyafanya.mpaka anapotokea ntu kama magufuli anaonekana ni shetani nk.
hakuna mtu asiyependa pesa,kinachozuia mtu asiibe pesa ni sheria kali ama ukali wa kiongozi wa nchi.
huyu anayesema wezi waache mara moja kutorosha madini tusitegemee maajabu kwake.
Kama uko field chukua hatua za kuanza kuelimisha wenzako mbadilishe fikra za kumtegemea kiongozi badala yake ninyi muwasaidie viongozi kudhibiti kwa kuwa wao hawapo field.
Lazima uje na ushauri wa nini kifanyke.
Unahitajika mkono wa chuma, kusimamia haya. Kwa sasa ni maneno matupu.
hakuna namna nchi masikini itaondoka kwenye umasikini kwa mizuka.
Politics...Eti anawataka wanaotorosha madini waache mara moja😆🤦🏾♂️
Ni sawa na kuwataka majambazi waache ujambazi mara moja kwasababu umeshindwa kuwakamata!
Kuhusu kumtaja mwendazake, hizo ni politics zake za kuogopa kundi la wale walokuwa wakimuumga mkono mwendazake.
Kwa dakika 2 tu, sawa sawa na Avatar yako 😂Tumelaliwa sana
April 14 1984 palitokea kitu gani? Tukumbushane maana tumeshakuwa wahenga.Hata tunapomsifia Mwalimu Nyerere wapo wanaokumbuka walivyoporwa kwny Azimio la Arusha, wapo wanaokumbuka unyama wa operation Vijiji vya Ujamaa, wapo wanaokumbuka ya April,7 1972, wapo wanaokumbuka ya April, 14 1984
Hatuwezi kuacha kumsifia mtu kwa Mema yake kwa kuwa pia ana madhaifu yake
John Magufuli kalifanyia mengi makubwa na mazuri Taifa hili hilo halitegemei comments za Viroboto wala za wahuni