Rais Samia: Hayati Ndugai alikuwa mkomavu kisiasa na kiuongozi, na aliyeamini katika demokrasia ya Bunge

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Hayati Ndugai alikuwa mkomavu kisiasa na kiuongozi, na aliyeamini katika demokrasia ya Bunge. Alipokuwa Spika Bunge lilishuhudia mafanikio mbalimbali yaliyoelezwa hapa na Katibu wa Bunge lakini pia Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"- Rais Samia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa hafla ya kuaga mwili wa Spika mtaafu Job Ndugai katika viunga vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti 2025.

Kwa kuwa kadanja?
 
Ni kipi kilimsukuma ajiuzuru?
 
THE AXIS OF EVIL.....!!
 
Kwa vile marehemu hasemwi vibaya, huyu ndugai ndo alibaki na wabunge wasio na vyama kwa miaka mi5 bungeni
 
Huyo Wa Mchambawima Anasemaje?
Si Ndio Walimbana Ndugai Hili
Ajiuzulu.
 
"Hayati Ndugai alikuwa mkomavu kisiasa na kiuongozi, na aliyeamini katika demokrasia ya Bunge. Alipokuwa Spika Bunge lilishuhudia mafanikio mbalimbali yaliyoelezwa hapa na Katibu wa Bunge lakini pia Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"- Rais Samia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa hafla ya kuaga mwili wa Spika mtaafu Job Ndugai katika viunga vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti 2025.

Anasomaaaaaaaa
 
Sasa chura a.k.a Dalali uza tanganyika yetu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
"Hayati Ndugai alikuwa mkomavu kisiasa na kiuongozi, na aliyeamini katika demokrasia ya Bunge. Alipokuwa Spika Bunge lilishuhudia mafanikio mbalimbali yaliyoelezwa hapa na Katibu wa Bunge lakini pia Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"- Rais Samia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa hafla ya kuaga mwili wa Spika mtaafu Job Ndugai katika viunga vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti 2025.

Kuna siku mzee mmoja alikua ananisimulia story flani hivi, mwishoni akaniambia hata muuaji huwa analia msibani na kumsifia marehemu tena kuliko hata wafiwa wenyewe

Mpaka leo sijui yule mzee alikua anamaanisha nini
 
"Hayati Ndugai alikuwa mkomavu kisiasa na kiuongozi, na aliyeamini katika demokrasia ya Bunge. Alipokuwa Spika Bunge lilishuhudia mafanikio mbalimbali yaliyoelezwa hapa na Katibu wa Bunge lakini pia Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"- Rais Samia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa hafla ya kuaga mwili wa Spika mtaafu Job Ndugai katika viunga vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti 2025.

Samia mnafiq sana hapo anachekea tumboni mbaya wake kafa.
 
Back
Top Bottom