DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
I'm not sure
Rais mwenye PhD ya unafiki na mipasho ya taarab."Hayati Ndugai alikuwa mkomavu kisiasa na kiuongozi, na aliyeamini katika demokrasia ya Bunge. Alipokuwa Spika Bunge lilishuhudia mafanikio mbalimbali yaliyoelezwa hapa na Katibu wa Bunge lakini pia Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"- Rais Samia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa hafla ya kuaga mwili wa Spika mtaafu Job Ndugai katika viunga vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti 2025.
Mbona huyu mama yupo hivi?...amerogwa nini?...tuseme asingekuwa hapo angefanya shughuli gani?..inashangaza sana"Hayati Ndugai alikuwa mkomavu kisiasa na kiuongozi, na aliyeamini katika demokrasia ya Bunge. Alipokuwa Spika Bunge lilishuhudia mafanikio mbalimbali yaliyoelezwa hapa na Katibu wa Bunge lakini pia Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"- Rais Samia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa hafla ya kuaga mwili wa Spika mtaafu Job Ndugai katika viunga vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti 2025.