Rais Samia, hili baraza la sasa siyo lako, ni la Magufuli akishauriana na Majaliwa, tengeneza baraza lako!

Makosa aliyoyafanya ya kurithi Baraza la Mawaziri la dhalimu mwendazake yataendelea kumtesa sana. Hasa hawa Mpango, Majaliwa, Mwigulu, Ummy na Gwajima. Kapata nafasi nzuri ya kufanya mabadiliko makubwa ikiwemo kumtema Mwigulu na wengine sijui kama ataitumia au anaogopa kumgusa huyo mmoja wa UNTOUCHABLES.

 
MTUPU huyo Mkuu unasaini kitu June 30 three weeks later unabadili kauli. Hakusoma wala kuuliza maswali magumu.

Hili Rais alilijua kabisa na alisaini, labda kama alisaini bila kusoma na kuelewa, kitu ambacho ni kosa kubwa pia na inashangaza
 
Majungu na fitina ndio siasa za Bongo tokea enzi za Raisi Nyerere.
Yawezekana kuna baadhi ya mawaziri na vigogo nje ya cabinet wenye agenda ya kumpunguza makali SSH,na wanafanikiwa haraka sana.
Lakini aliwapa miezi 6 ,kupima performance indicator zao,bado miezi mitatu,lolote laweza kutokea.
Ila wizara za Fedha,Afya,Kilimo,Mambo ya Ndani ,Elimu zinahitaji kuboreshwa kiutendaji ,ikiwezekana ziundwe upya kimfumo.
 
Reactions: BAK
Samia hawezi kuwa kitu kimoja na dikteta, Samia Ni muungwana
Hata sisi tunalijua hilo.

Sasa akiendelea na baraza lilelile la Magufuli ambalo Magufuli aliliunda huku akiwa na mahesabu yake kichwani bila shaka haliwezi kuendana naye.

Ssmia avunje hilo baraza aunde la kwake!

Huenda kwenye hili baraza kuna watu walikuwa wameshajipanga kwa ajili ya 2025, sasa wanaona mama kuingia kavuruga mahesabu yao wanaumia kuwa kawachelewesha kwa hiyo wanamharibia kazi ili umma umchukie halafu baadae hao watu wampige presha astep down mwaka 2025.

It is the time for madam President to change the closet
 
Samia amka kutoka kwenye usingizi wa pono. Hii timu uliyonayo iliundwa kuendana na haiba ya Magufuli. Unda ya kwako.

Wananchi tunahisi ama kuna hujuma wanakuhujumu, au imekuwa incompentent
 
Hajarejea chochote kwenye makato wanakata kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…