Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kama ndiyo hivyo kwanini gazeti la uhuru lilifungiwa?Mama hana mpango wa kugombea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ndiyo hivyo kwanini gazeti la uhuru lilifungiwa?Mama hana mpango wa kugombea.
Kosa gani?Ndugu yangu hili gazeti lilichukuliwa hatua za kisheria kwa ajili ya huo upotoshaji. Na wenyewe waliomba radhi. Sasa unavyolisambaza ujue unafanya kosa.
Machinga ni bomo la kutegwa ndani ya ccmThe marching guys are a deadly virus in the CCm's blood stream.
Hamza ni CHADEMA, eti ehh.Ndugu yangu hili gazeti lilichukuliwa hatua za kisheria kwa ajili ya huo upotoshaji. Na wenyewe waliomba radhi. Sasa unavyolisambaza ujue unafanya kosa.
Wakati chama tawala ni kimoja tu nchini Tanzania!Sahihi kabisa sasa sijui huwa tunapatwa na wazimu gani kujisumbua kwenda kupanga mistari eti kuwapigia kura.
Chama Cha MaumauWakati chama tawala ni kimoja tu nchini Tanzania!
Nilishaachaga mbonaSahihi kabisa sasa sijui huwa tunapatwa na wazimu gani kujisumbua kwenda kupanga mistari eti kuwapigia kura.
Katika mambo Rais SSH amefanya ya maana ni hili la kuondoa Machinga maeneo yasiyo rasmi miji imekuwa misafi na barabara zinapitika yaani tulikuwa kama wanyama, watu tusio na utaratibu wala usafi...Mungu kamuumba binadamu kamtofautisha na wanyama kwa sababu Binadamu ana utashi utashi wa kibinaadamu ulipoteana pale tuliporuhusu machinga waweke biashara zao popote; duniani kote hakuna serikali isiyofuata utaratibu...Ndugu zangu wanaJF!
Rais wangu SSH ninaona ugumu huko mbeleni kisiasa.Kumbuka kabla ya uchaguzi Mkuu mwaka 2015 wana-CCM tulikuwa hatuwezi kukatiza mitaa ya majiji makubwa tukiwa na sare au fulana kwani tulizomewa na baadhi waliambulia vipigo.Siasa za manispaa na majiji makubwa zilitekwa na wanasiasa walioahidi neema kwa wamachinga.
Sasa naona takribani mwaka mmoja baada ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kabla hata ya kuandaa sehemu sahihi za kufanyia biashara wamachinga wanaondolewa mijini kwa ukatili mkubwa.Yaani KPI mpya ya Ma-RC na Ma-DC ni kudhibiti wamachinga wasitafute riziki bila ya kutoa suluhisho mbadala.
Nimalize tu kwa kusema Rais Samia kwenye hili la wamachinga tutapata tabu mbeleni kwani sasa "Serikali imeupiga mdogo" ,hatujachelewa tujisahihishe.
EtiWakati chama tawala ni kimoja tu nchini Tanzania!
Wacha sasa na mimi niige kutoka kwako mkuu.Nilishaachaga mbona
No way outWacha sasa na mimi niige kutoka kwako mkuu.
Pamoja sanaNo way out
Kwa hiyo wakisema anautwanga mchache utajifungia ndani uanze kujiliza?Akili zako kama tikiti-maji.Ndugu zangu wanaJF!
Rais wangu SSH ninaona ugumu huko mbeleni kisiasa.Kumbuka kabla ya uchaguzi Mkuu mwaka 2015 wana-CCM tulikuwa hatuwezi kukatiza mitaa ya majiji makubwa tukiwa na sare au fulana kwani tulizomewa na baadhi waliambulia vipigo.Siasa za manispaa na majiji makubwa zilitekwa na wanasiasa walioahidi neema kwa wamachinga.
Sasa naona takribani mwaka mmoja baada ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kabla hata ya kuandaa sehemu sahihi za kufanyia biashara wamachinga wanaondolewa mijini kwa ukatili mkubwa.Yaani KPI mpya ya Ma-RC na Ma-DC ni kudhibiti wamachinga wasitafute riziki bila ya kutoa suluhisho mbadala.
Nimalize tu kwa kusema Rais Samia kwenye hili la wamachinga tutapata tabu mbeleni kwani sasa "Serikali imeupiga mdogo" ,hatujachelewa tujisahihishe.
Kwanza kabisa naunga mkono mia kwa mia kuwaondowa wamachinga holela, maana wamachinga wa kweli wapo kama pale machinga complex kwa mfano tu.Ndugu zangu wanaJF!
Rais wangu SSH ninaona ugumu huko mbeleni kisiasa.Kumbuka kabla ya uchaguzi Mkuu mwaka 2015 wana-CCM tulikuwa hatuwezi kukatiza mitaa ya majiji makubwa tukiwa na sare au fulana kwani tulizomewa na baadhi waliambulia vipigo.Siasa za manispaa na majiji makubwa zilitekwa na wanasiasa walioahidi neema kwa wamachinga.
Sasa naona takribani mwaka mmoja baada ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kabla hata ya kuandaa sehemu sahihi za kufanyia biashara wamachinga wanaondolewa mijini kwa ukatili mkubwa.Yaani KPI mpya ya Ma-RC na Ma-DC ni kudhibiti wamachinga wasitafute riziki bila ya kutoa suluhisho mbadala.
Nimalize tu kwa kusema Rais Samia kwenye hili la wamachinga tutapata tabu mbeleni kwani sasa "Serikali imeupiga mdogo" ,hatujachelewa tujisahihishe.
Nitake radhi mkuuSilinde alikuwa CHADEMA, akarubunika kwa vipande vya fedha na ahadi ya uwaziri.
johnthebaptist , Wakudadavuwa a, thetallest, jingalao huyu ni mtu mmoja anayeunganisha majina na kuyafanya ID yake bila ya kuweka nafasi
Si kweli hata kidogo. Mama anatakiwa arekebishe, kitu ambacho tayari kilichokosewa. Wamachinga ni watanzania na wanapaswa kusaidiwa kwa kuweka mazingira mazuri ili wapate kipato. Kuruhusu wafanye biashara kila sehemu ni mtaji wa wanasiasa waongo, wasio na maono mazuri kwa nchi yetu.Ndugu zangu wanaJF!
Rais wangu SSH ninaona ugumu huko mbeleni kisiasa.Kumbuka kabla ya uchaguzi Mkuu mwaka 2015 wana-CCM tulikuwa hatuwezi kukatiza mitaa ya majiji makubwa tukiwa na sare au fulana kwani tulizomewa na baadhi waliambulia vipigo.Siasa za manispaa na majiji makubwa zilitekwa na wanasiasa walioahidi neema kwa wamachinga.
Sasa naona takribani mwaka mmoja baada ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kabla hata ya kuandaa sehemu sahihi za kufanyia biashara wamachinga wanaondolewa mijini kwa ukatili mkubwa.Yaani KPI mpya ya Ma-RC na Ma-DC ni kudhibiti wamachinga wasitafute riziki bila ya kutoa suluhisho mbadala.
Nimalize tu kwa kusema Rais Samia kwenye hili la wamachinga tutapata tabu mbeleni kwani sasa "Serikali imeupiga mdogo" ,hatujachelewa tujisahihishe.
Mwambie kaka yako David Silinde maana ndiye msimamizi wa zoezi la kuondoa hao wamachinga!
Declare your interest Kwanza wewe ni timu Magufuli, halifu ndipo uanze kumfundisha mama Samia namna ya kuingiza nchi
Hakuna chochote kibaya kitakachotokea kwa kuhamishwa machinga,ni uamuzi mzuri nacwao baadae wataufurahia sanaNdugu zangu wanaJF!
Rais wangu SSH ninaona ugumu huko mbeleni kisiasa.Kumbuka kabla ya uchaguzi Mkuu mwaka 2015 wana-CCM tulikuwa hatuwezi kukatiza mitaa ya majiji makubwa tukiwa na sare au fulana kwani tulizomewa na baadhi waliambulia vipigo.Siasa za manispaa na majiji makubwa zilitekwa na wanasiasa walioahidi neema kwa wamachinga.
Sasa naona takribani mwaka mmoja baada ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kabla hata ya kuandaa sehemu sahihi za kufanyia biashara wamachinga wanaondolewa mijini kwa ukatili mkubwa.Yaani KPI mpya ya Ma-RC na Ma-DC ni kudhibiti wamachinga wasitafute riziki bila ya kutoa suluhisho mbadala.
Nimalize tu kwa kusema Rais Samia kwenye hili la wamachinga tutapata tabu mbeleni kwani sasa "Serikali imeupiga mdogo" ,hatujachelewa tujisahihishe.
Hakuna chochote kibaya kitakachotokea kwa kuhamishwa machinga,ni uamuzi mzuri nacwao baadae wataufurahia sana
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app