CCM Music
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 1,036
- 1,784
Sina maelezo mengi, PDF ya jamaa inajieleza zaidi.
Sijui huyu ndio Kigogo au sijui ni nani.
1/10SHIRIKA LA KAZI TANZANIA (TANZANIA LABOUR CO-OPERATION)
(Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha za vijana wa mitandaoni)Mama Shikamoo!Mama, nilifurahi uliposema unataka kufungua nchi. Uliposema hivyo nikajua wazi kuwa Mama anaelewa vizuri namna gani ya kuwasaidia watoto wake (watanzania).
Mama, hii nchi si ya kukosa ajirawala kuwa maskini,Mama.Tukubaliane Mama kuwa tunafeli sana kwenye mipango yetu mingi ya kiuchumi ikichangiwakwa kiasi kikubwa na ubinafsi wetu.Hii nchi haijajengwa kabisa Mama,sasa inakosaje ajira? Ajira ni kujenga nchi.Tunasubiri nani aje atujengee nchi yetu?
Hakuna, isipokuwa sisi wenyewe.Mbaya zaidi kuna ‘nguvu kazi’kubwa inayoteketea mitaani; na mbaya zaidi kuliko ni kwamba wanakuwa ni mizigo mizito na mikubwa kwa Taifa, yaani tunakuwa na Taifa tegemezikupitiliza.Wanadai hawana ajira wala kazi ya kufanya, na muda mwingi wapo mitandaoni wakirandaranda na kulaumu.
Mama, hayo najua unafahamu. Sasa, Mama, tukubaliane kuwa nchi hii hatuwezi kujenga kwa kutumia vi shilingi vyetu hivi vidogo tunavyovipata. Hatutaweza Mama.Unajua Mama,kitu tunachokosea kamaTaifa (wananchi na viongozi wetu) ni hiki hapa.
TUNAWAZA ZAIDI KUFANYA BIASHARA SISI KWA SISI, YAANI BAINA YETU, yaani kwamba tugawane hivi vi shilingi vyetu. Vi shilingi vyenyewe hivi Wachina wanakuja kuchukua kwa kutujengea barabara, ma flyovers na kadhalika. Na wanachukua nyingi kweli kweli, Mama.Sisi tunaendelea kuwa maskini kizazi hadi kizazi. Taifa lenye watu maskini ni hatari sana ki usalama maana maskini anaweza kuwa manipulated ki vyovyote vile. Mama, njaa haina baunsa. Njaa ni mbaya sana.
Mtu mwenye chakula anaweza ku manipulate fikra za mwenye njaa. Hata kwenye Biblia iliwahi kutokea mtu akapoteza uzao wake wa kwanza na baraka zake kwa sababu ya njaa! Njaa mbaya sana, Mama.
Mama, naomba nikuulize kitu. Mama, wewe kwa kutazama nchi yetu hii ‘in abig picture’ unaona kweli kuna wakati itafika ajira na ustawi wa watu utaimarikazaidi ya ilivyo kwa sasa? Kumbuka, tunaendelea kuzaliana siku hadi siku. Mimi naona siku hadi siku maisha ya watuwetuyanazidi kuwa magumu zaidikuliko jana.Miaka ya nyuma mtu maskini anapambana kumsomesha mtoto wake ili apate elimu aje aikomboe familia yake maskini, lakini sasa hivi naona hili linazidi kufifia siku hadi siku. Unajua ni kwa nini?
Ni kwa sababuwengi waliosoma wenyewe wapo majumbani hawana chakufanya wamekuwamizigo kwa familia zao. Hata morale ya wanafunzi kusoma bila shaka inazidi kufifiasiku hadi siku. Hii ni kwa sababuwengi hujiuliza wasome ili iweje, wakati hata waliosoma maisha yanawapiga hatari na nusu.
Mama, huenda haya unayajua, na sasa ni wakati wa kuunganisha nguvu zetu za moyo, roho, na akili katika kukabiliana na hili janga. Mama, ngoja kijana wako nikupesasamchongo.Ujue Mama,wewe kwenye familia yako (nchi yako Tanzania) una utajiri wa vitu viwili tu: BAHARI NA ARDHI.Hivi vitu viwili Mama, Mungu kakuwekea mikononi mwako ni wewe mwenyewe uamuekutumia kuwasaidia watoto wako na wajukuu zako (watanzania). Kwenye madini sitii neno.
BAHARI:BAHARI ni ufunguo wa Duniatuliopewa na Mungu. Kupitia BAHARI tunaingia kwenye soko lolotekwenye nchi yeyote ileDuniani. Mama, tutumie vizuri huu ufunguo.BAHARI ni kwa ajili ya usafirishaji wa mali yaani bidhaa kutoka huko ng’ambo mfano China, Japan, Uingereza, Singapore, Marekani, na kadhalika na kuingiza Tanzania. Na mara nyingine kusafirisha bidhaa kutoka Tanzania na kupeleka ng’ambo.
Yaani ipo hivi Mama, angalia huo mchorohapo chini.Mama unaiona hiyo BAHARI? Usiite bahari sema ‘UFUNGUO WA DUNIA’. Mama sasa tuvuke boarders, tufungue Dunia, tufungue nchi kama ulivyosema Mama tuanze kula hela za hizi nchi:
Burundian franc (11,890,784 approximated population),
Rwandan franc (12,952,218 approximated population),
Ugandan shillings (45,741,007),
Congolese franc (92,141,230 approximated population),
Malawian kwacha (19,129,952 approximated population),
Zambian kwacha (18,383,955 approximated population),
ASIAULAYAAMERICABURUNDIBAH A RINEW TANZANIA(MADUKA YA JUMLA)UGANDARWANDACONGOZAMBIAMALAWIMSUMBIJISUDAN NA NCHI ZINGINE
Sudanese pound (43,849,260 approximated population),Mozambican metical (31,255,435 approximated population), Kenyan shillings (53,771,296 approximated population) Tanzanian shillings (59,734,218 approximated population) Jumla ya approximated population ni watu 329,115,137 (ukiondoa Tanzania) na ukiweka Tanzania ni approximated population 388,849,355 (Hizi data ni kwa msaada wa google).
Yaani mpango wetumkubwani kula hela za Duniani. Tuache kukodolea macho hela za Tanzania pekee, tutafeli Mama.Kwa mpango huu watu wetu watapata ajira na nchi yetu itajengwa sanapengine hadi kupitiliza. HIZI HELA TUNAKULAJE?Hizi hela zinaliwa hivi Mama. Twende na hii approach tumalize mchezo mapema kabisa.Tunakubali kuwa kama ‘TANZANIA NDIO MADUKA YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA WAZUNGU’ katika ukanda wa Afrika.
Ndio. Kwa sababu ya uhakika wa soko.Wazungu Mama wakisikia soko huwa wanapagawa ile kinoma. Ujue moja ya sababu kubwa wakoloni kuja Africana kututawalani kutafuta masoko ya bidhaa zao. Mama, sisi tuna potential kubwa ya kuwa soko kwa ajili ya bidhaa za viwanda vyao. Sisi wenyewe tunakaribia kufika watu wetu karibu milioni 60 hivi, halafu tumezungukwa na nchi kibao yenye idadi ya watu karibumilioni 330.Yaani idadi ya watu kwenye nchi wanazotuzunguka ni sawa na idadi ya taifa la Marekani (USA). Hahahaha what a huge market !!!!!Halafu watu wetu ndio wanakuwa on top of the lives of more than 330 milion people. God bless us every day !
Tunakuwa soko kwa namna gani?Kwa namna hii, Mama. Malengo yetu makuu ni haya hapa mawili: (i) TANZANIA –MADUKA YA JUMLA AMA SUPPLIER MKUBWA WA BIDHAA ZA VIWANDA VYA WAZUNGUYaani, Mama tunahakikisha sisi tunakuwa kamamaduka ya Jumla ama Supplier Mkubwa wa bidhaa za viwanda vya wazungu kutoka huko Asia, Ulaya, Amerika na kwinginekoDuniani.
Yaani, wazungu watuone sisi TANZANIA kama ndio maduka yao makubwaya Jumla kwa Africa kwaajili ya kuuza bidhaa zao kwa nchi zingine za Afrika zizizo na bahari.Mama, kipengele hiki kikiendelea kuimarika na kuzaa matunda zaidi na zaidi wazungu wataona bora waje wafungue viwanda vyao hapa hapa Tanzania ili iwe rahisi kufikisha bidhaanchi jiranizizizo na Bahari. Mama, hapa wawekezaji hatujawapata ki sayansi? Tumewapata, Mama.
Mama, mwekezaji anataka kuona soko la bidhaa zake wala hataki blah blah zozote zileza uwekezaji.Hii mbinu Mama,itasababisha wawekezaji waje kuanzisha viwanda hukukwetuunder licensing ama ki vyovyote vile. Mama kunywa kinywaji kinaitwa ‘Grand Malt’halafu soma maandishi yake, utaelewa nachosema hapa mama kuhusu wawekezaji.Hiki kinywaji hakika kilevi, Mama usiwaze.Mama, kwani Coca Cola ni ya Tanzania? Pepsi je?
Mama, muhimu nikuwahakikishia wazungu kuwa sisi ni soko kubwa na watakuja kufungua viwanda kila siku. Mama, ikifikia hapa mchezo umeisha maana Tanzania wawekezajiwatakujakama wote.