Elisha Sarikiel
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 905
- 1,540
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee huyu alikuwa anachomekwa kijinga. hana qualification zozote zile. mtu kaishia secondary awe katib tawalam what the hell?
umakin unahitajika hapa
Hasa wapinzani wake ndani ya CCM ambao bado wako na mzio wa mwendazake hadi leo. Mama Samia ana maadui wengi ndani ya CCM kuliko mahali popote pale na huenda haya yote yanafanyika kwa makusudi ili kumharibia zaidi. CCM oyeeee mitano tenawapinzani wako wapate upenyo wa kukutukana Sana.
Yaani kazi yake yeye ni kutangaza tu hata hataki kujiridhishaAnapelekewa majina tu naye anateua bila kuwajua.
Ni hatari sn na aibu kubwaRAS kaishia kidato cha nne wakati kuna watu kibao serikalini wenye Masters na PhD na wana experience kazini, haya wale tusiokuwa makada teuzi tutazisikia kwa jirani tu...
Na style hii ikiendelea mama ataonekana sio makini kwenye teuzi zake!!bora hata liwe tatizo la kimaadili lakini sio la elimu!!kwani la kielimu ni rahisi kupata taarifa zake sasa inakuwaje?Hilo ni la kumpa hongera au kumwambia hafai?!! unawesaje kuteua watu vyeo vikubwa bila vetting?
Hao wanao mshauri rais wameonyesha udhaifu mkubwa na kumufanya rais aonekane siyo makini.
Hivyi si kuna sifa zimeanishwa kwa kila nafasi inayo tangazwa? Kama ni hivyo ni nani anamletea hao watu wasio na sifa?.Huyo anza naye.
Kabla ya uteuzi si wateule wote hufanyiwa vetting ya kutosha? Au wanaokwotwa tu?
Inasikitisha sana kosa lilianziwa kwa yule wa TPDC, akaja Kafulila, imekuja tena hili la katibu tawala.
Tumeona mpaka waraka toka Ikulu unatolewa umekosewa tarehe.
Watu wa Ikulu na wengine mnao husika msimvunjie heshima rais wetu.