Rais ni Samia na siyo taasisi! Ingekuwa taasisi haya makosa yasingejirudia. Urais hauna ubia kwa hiyo lawama zote kwa Samia!Halafu anakuja kuwajua baada ya kuwateua? Au anawajua baada ya watu kuanza kuwachambua mitandaoni? Hapa pana tatizo. Tukumbuke Rais ni taasisi.
Yaani hii pangua pangua sasa itaonekana haina malengo maalumu, ni bora tu kubadilisha. .. Viongozi wetu sijui wanakosa vision, ndio maana hawana hakika ni mtu gani anafaa kwenda kusaidia eneo gani. Huwezi kusema flani kawe kiongozi Simiyu bila kuchanganua potentials na challenges za hilo eneo, then unaangalia nani anafaa kwenda huko.Halafu anakuja kuwajua baada ya kuwateua? Au anawajua baada ya watu kuanza kuwachambua mitandaoni? Hapa pana tatizo. Tukumbuke Rais ni taasisi.
Rais ni taasisi ndio..watu wanaomsaidia rais kutimiza majukumu yake..wanatakiwa wafanye kazi zao kwa uadilifu na uaminifu mkubwa..wajue wakikosea wao anayeambiwa amekosea ni rais..tunaomba mlinde heshima ya rais wetu.. hongera rais kwa kurekebisha makosa kwa haraka..Hii inaweza kuwa one of the best comments in May 2021
Hilo ni la kumpa hongera au kumwambia hafai?!! unawesaje kuteua watu vyeo vikubwa bila vetting?
Kusaini nyaraka bila kuzisoma ni tabia ya watanzania wengi, sio wa serikalini tu. Mifano:yale yale ya zakia meghji... ya kuletewa file na kuambiwa usaini, bila kujua unasaini kitu gani
Na nani wanampelekea majina?Anapelekewa majina tu naye anateua bila kuwajua.
Kusaini nyaraka bila kuzisoma ni tabia ya watanzania wengi, sio wa serikalini tu. Mifano:yale yale ya zakia meghji... ya kuletewa file na kuambiwa usaini, bila kujua unasaini kitu gani
Mkuu, mbona kuna wabunge ambao ni darasa la saba na bado wamo ndani ya mhimili huo wa kutunga sheria?Hapa kulikuwa na tatizo kwa kuwa elimu ya huyu Azza ni ndogo na isingekuwa vyema kwenda kuwa katibu tawala. Katibu Tawala mkoa ndio mtendaji, anahitaji mwenye elimu ni Bora ingekuwa nafasi ya mkuu wa mkoa au wilaya maana hizo hazihitaji Sana wasomi.
Hao wanao mshauri rais wameonyesha udhaifu mkubwa na kumufanya rais aonekane siyo makini.
Hivyi si kuna sifa zimeanishwa kwa kila nafasi inayo tangazwa? Kama ni hivyo ni nani anamletea hao watu wasio na sifa?.Huyo anza naye.
Kabla ya uteuzi si wateule wote hufanyiwa vetting ya kutosha? Au wanaokwotwa tu?
Inasikitisha sana kosa lilianziwa kwa yule wa TPDC, akaja Kafulila, imekuja tena hili la katibu tawala.
Tumeona mpaka waraka toka Ikulu unatolewa umekosewa tarehe.
Watu wa Ikulu na wengine mnao husika msimvunjie heshima rais wetu.