Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Hivi ile taasisi ya utafiti badi huwa inafanya hizi mambo?Ni ukweli tena ukweli mtupu.
Wewe mwenyewe unajidanganya,wanaokuzunguka wanakudanganya. Angalia mikutano ya chadema inavyokuvua nguo. Hadi wananchi wanakimbiza gari za akina Heche ambaye ni makamu wa mwenyekiti. Vibe kama lote. Naamini wewe hujawahi kupata shangwe kama hilo. Wananchi wanajitokeza kwa mapenzi tofauti na wewe na chama chako chakavu mnaotumia nguvu kubwa ikiwemo wasanii kufanya ushawishi. Unatumia machawa wajinga lakini Bado hupendwi kiasi hiki.
Naamini uchaguzi ujao kama Heche na lissu watasimama kwenye kinyang'anyiro utashindwa asubuhi tu. Watanzania walikuamini lakini umewakatisha tamaa mwenyewe. Umekuwa Rais wa hovyo kwa mara nyingine tena baada ya ahueni kutoka kwa JPM. Umekumbatia matapeli na ufisadi. Wewe mwenyewe hueleweki..umebariki kila anayekosoa atekwe na apigwe. Hukemei hata kidogo rushwa,ripoti ya CAG umeitupa na kufanya unachojua mwenyewe.
Kwa kheri ya kuonana. Utavuna ulichopanda na unachopanda
Hapana zilikodiwa nimethibitisha toka chanzo huruHizo gari zinaweza kuwa zimekodishwa tu na wala hazina wanafunzi wa hizo shule.
Ukweli Ni kuwa CCM haipendwi na haitakiwi popote pale Tanzania.
Sasa hakuna dawa hospital za serikali na rushwa imetawala kila sehumu.
Uonevu kwa raia sababu ya pesa au cheo umerudi kwa kasi. "UNANIJUA MIMI NI NANI?" imerudi.
Ni ukweli tena ukweli mtupu.
Wewe mwenyewe unajidanganya,wanaokuzunguka wanakudanganya. Angalia mikutano ya chadema inavyokuvua nguo. Hadi wananchi wanakimbiza gari za akina Heche ambaye ni makamu wa mwenyekiti. Vibe kama lote. Naamini wewe hujawahi kupata shangwe kama hilo. Wananchi wanajitokeza kwa mapenzi tofauti na wewe na chama chako chakavu mnaotumia nguvu kubwa ikiwemo wasanii kufanya ushawishi. Unatumia machawa wajinga lakini Bado hupendwi kiasi hiki.
Naamini uchaguzi ujao kama Heche na lissu watasimama kwenye kinyang'anyiro utashindwa asubuhi tu. Watanzania walikuamini lakini umewakatisha tamaa mwenyewe. Umekuwa Rais wa hovyo kwa mara nyingine tena baada ya ahueni kutoka kwa JPM. Umekumbatia matapeli na ufisadi. Wewe mwenyewe hueleweki..umebariki kila anayekosoa atekwe na apigwe. Hukemei hata kidogo rushwa,ripoti ya CAG umeitupa na kufanya unachojua mwenyewe.
Kwa kheri ya kuonana. Utavuna ulichopanda na unachopanda
Wewe ndio hueleweki ulichoandoka.Kwa kuangalia tu mwandiko wako inaonyesha elimu yako ndogo mno na uelewa mdogo sana. Ndio maana ulifeli shuleNi ukweli tena ukweli mtupu.
Wewe mwenyewe unajidanganya,wanaokuzunguka wanakudanganya. Angalia mikutano ya chadema inavyokuvua nguo. Hadi wananchi wanakimbiza gari za akina Heche ambaye ni makamu wa mwenyekiti. Vibe kama lote. Naamini wewe hujawahi kupata shangwe kama hilo. Wananchi wanajitokeza kwa mapenzi tofauti na wewe na chama chako chakavu mnaotumia nguvu kubwa ikiwemo wasanii kufanya ushawishi. Unatumia machawa wajinga lakini Bado hupendwi kiasi hiki.
Naamini uchaguzi ujao kama Heche na lissu watasimama kwenye kinyang'anyiro utashindwa asubuhi tu. Watanzania walikuamini lakini umewakatisha tamaa mwenyewe. Umekuwa Rais wa hovyo kwa mara nyingine tena baada ya ahueni kutoka kwa JPM. Umekumbatia matapeli na ufisadi. Wewe mwenyewek hueleweki..umebariki kila anayekosoa atekwe na apigwe. Hukemei hata kidogo rushwa,ripoti ya CAG umeitupa na kufanya unachojua mwenyewe.
Kwa kheri ya kuonana. Utavuna ulichopanda na unachopanda
Unafikiri kwanini kamteua Steve Nyerere kuwa msemaji wake mkuu, Mama yabidi asome tu alama za nyakati.....anatumia strategy za kijinga kutesa wapinzani na kujiharibia CV bure. Ukweli ni kwamba wananchi walishaichoka CCM kitambo kwa sababu hawana dira ya maendeleo.. Mtu pekee angeyeweza kukipeleka hiki chama mbele alikuwa Magufuli tu maana alikuwa mtendaji na si mtu wa porojo japo naye alikuwa na mabaya yake ila kiujumla ndiye aliyefaa kuwa rais wa nchi hii.Ni ukweli tena ukweli mtupu.
Wewe mwenyewe unajidanganya,wanaokuzunguka wanakudanganya. Angalia mikutano ya chadema inavyokuvua nguo. Hadi wananchi wanakimbiza gari za akina Heche ambaye ni makamu wa mwenyekiti. Vibe kama lote. Naamini wewe hujawahi kupata shangwe kama hilo. Wananchi wanajitokeza kwa mapenzi tofauti na wewe na chama chako chakavu mnaotumia nguvu kubwa ikiwemo wasanii kufanya ushawishi. Unatumia machawa wajinga lakini Bado hupendwi kiasi hiki.
Naamini uchaguzi ujao kama Heche na lissu watasimama kwenye kinyang'anyiro utashindwa asubuhi tu. Watanzania walikuamini lakini umewakatisha tamaa mwenyewe. Umekuwa Rais wa hovyo kwa mara nyingine tena baada ya ahueni kutoka kwa JPM. Umekumbatia matapeli na ufisadi. Wewe mwenyewe hueleweki..umebariki kila anayekosoa atekwe na apigwe. Hukemei hata kidogo rushwa,ripoti ya CAG umeitupa na kufanya unachojua mwenyewe.
Kwa kheri ya kuonana. Utavuna ulichopanda na unachopanda
Mama ana hasira mpaka kachanganikiwa na kumpa ujira Steve Nyerere kuwa Msemaji wake mkuuNi ukweli tena ukweli mtupu.
Wewe mwenyewe unajidanganya,wanaokuzunguka wanakudanganya. Angalia mikutano ya chadema inavyokuvua nguo. Hadi wananchi wanakimbiza gari za akina Heche ambaye ni makamu wa mwenyekiti. Vibe kama lote. Naamini wewe hujawahi kupata shangwe kama hilo. Wananchi wanajitokeza kwa mapenzi tofauti na wewe na chama chako chakavu mnaotumia nguvu kubwa ikiwemo wasanii kufanya ushawishi. Unatumia machawa wajinga lakini Bado hupendwi kiasi hiki.
Naamini uchaguzi ujao kama Heche na lissu watasimama kwenye kinyang'anyiro utashindwa asubuhi tu. Watanzania walikuamini lakini umewakatisha tamaa mwenyewe. Umekuwa Rais wa hovyo kwa mara nyingine tena baada ya ahueni kutoka kwa JPM. Umekumbatia matapeli na ufisadi. Wewe mwenyewe hueleweki..umebariki kila anayekosoa atekwe na apigwe. Hukemei hata kidogo rushwa,ripoti ya CAG umeitupa na kufanya unachojua mwenyewe.
Kwa kheri ya kuonana. Utavuna ulichopanda na unachopanda
Yule alikuwa Kiongozi anaye simamia ulipo yupo,Ni ukweli tena ukweli mtupu.

Wewe Kwa akili Yako Mimi nawezaje mkubali kibaraka Kwa mfano 😂😂Msio wa kawaida au matahira
Aise huyu ndo aliokotwa jalalani na mwendazake.
Kama kipimo chako cha kukubalika ni hizi nyomi kwenye mikutano ya NRNE,then utashangaa!Ushauri wa Bure kwa Wafuasi wa NRNE, Hope for the best but get prepared for the Worst. Msidanganywe na Nyomi, mtashangaa. Hakuna atakayesusia UchaguziAngalia mikutano ya Chadema Hadi wananchi wanakimbiza gari za akina Heche ambaye ni makamu wa mwenyekiti. Vibe kama lote. Wananchi wanajitokeza kwa mapenzi
Kwa kheri ya kuonana.
Unakumbk cuf iliposusia uchaguzi wa marejeo maalim seif sharif hamad akaamrisha wafuasi wasiende kupiga kura unajua nn kilitokea licha ya ccm kupiga kura na kulazimisha wafanyakazi qa serekali kwenda kupiga kura ? Watanzania hatutoendelea hadi tuache kutumia sehem za siri kufikiria mamboKama kipimo chako cha kukubalika ni hizi nyomi kwenye mikutano ya NRNE,then utashangaa!Ushauri wa Bure kwa Wafuasi wa NRNE, Hope for the best but get prepared for the Worst. Msidanganywe na Nyomi, mtashangaa. Hakuna atakayesusia Uchaguzi
P
Duuh kumbe hata ndani?hata ndani ya ccm hakubaliki anatumia rushwa na udikteta, hata uchaguzi huru wa mwenyekiti wa mtaa hawezi kushinda.
Mnhh!!Ni ukweli tena ukweli mtupu.
Wewe mwenyewe unajidanganya,wanaokuzunguka wanakudanganya. Angalia mikutano ya chadema inavyokuvua nguo. Hadi wananchi wanakimbiza gari za akina Heche ambaye ni makamu wa mwenyekiti. Vibe kama lote. Naamini wewe hujawahi kupata shangwe kama hilo. Wananchi wanajitokeza kwa mapenzi tofauti na wewe na chama chako chakavu mnaotumia nguvu kubwa ikiwemo wasanii kufanya ushawishi. Unatumia machawa wajinga lakini Bado hupendwi kiasi hiki.
Naamini uchaguzi ujao kama Heche na lissu watasimama kwenye kinyang'anyiro utashindwa asubuhi tu. Watanzania walikuamini lakini umewakatisha tamaa mwenyewe. Umekuwa Rais wa hovyo kwa mara nyingine tena baada ya ahueni kutoka kwa JPM. Umekumbatia matapeli na ufisadi. Wewe mwenyewe hueleweki..umebariki kila anayekosoa atekwe na apigwe. Hukemei hata kidogo rushwa,ripoti ya CAG umeitupa na kufanya unachojua mwenyewe.
Kwa kheri ya kuonana. Utavuna ulichopanda na unachopanda
Nyomi za kuambiwa na cameras manoeuvre??!!! Wakiletewa zile "zenyewe" wanabadili kauli na kusema Bora hao sio wa maloriKama kipimo chako cha kukubalika ni hizi nyomi kwenye mikutano ya NRNE,then utashangaa!Ushauri wa Bure kwa Wafuasi wa NRNE, Hope for the best but get prepared for the Worst. Msidanganywe na Nyomi, mtashangaa. Hakuna atakayesusia Uchaguzi
P
Anakubalika mbona muoga anaogopa hata mwanamke mwanasheria kutoka Kenya?Wasio wa kawaida tukimkubali inatosha.
Kwani nani alikuwa anakubalila na wote? Ni Mungu huyo?
Hili dikteta la kwanza mwanamke Afrika na watu wake wataiba kura tuAsipewe kura hata moja nadhani hiyo ni njia nzuri ya kumfikishia ujumbe