Rais Samia hukubaliki kwa wananchi wa kawaida

Watanganyika hawajui habari ya Samia, wanajua CCM tuu.
 
Tumekuchoka na UCHAWA wako siku hizi nenda Twitter, Instagram, Facebook kote watu wanamtukana.

Hawaogopi kwa majina yao, soma Instagram Leo habari yake ya kujiandikisha ndio uzalendo watu walivyorespond. Chuki zako kwa CDM na Lissu na mapenzi yako kwa CCM na Samia yanakupofusha.

Wewe msomi unashindwa kusoma alama za nyakati? Kwa nini ateke, aue, abambike kesi, azuie hadi wanasheria kutoka Kenya na yeye anakubalika? Amuachie Tundu Lissu na CHADEMA wapite kutangaza NRNE halafu tuone uhalisia, unamfunga mpinzani wako halafu mnasema mnadanganyika na nyomi za NRNE? Paskali unazeeka vibaya
 

💯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…