Rais Samia ikukupendeza tuondolee DC Magoti hapa Kisarawe, amefeli kila kitu

Jamani Dc la kimataifa kafanyaje tenaa si juzi juzi tu hapa kabuni vazi la Samia style la kiume huyu
 
Halmashauri inafanya nini? Una mbunge, diwani na Baraza la madiwani (Halmashauri) ambao ndo wawakilishi wako, umefanya jitihada gani kuwawajibisha kabla ya kurukia kwa mkuu wa wilaya? Unayajua majukumu na mipaka ya mkuu wa wilaya? Unataja akuletee maji kwa bajeti ipi?
Una chuki zako nje ya hizo kero.

Kweli kabisa .
Kumshambulia Magoti peke yake ni chuki binafsi .

Mimi kwa mtizamo wangu wakuu wote wa mikoa na wilaya wamefeli Sana hawstahili kukalia hizo nafasi .

Nafasi za Ukuu wa Wilaya na Mikoa zinastahili kupewa wanajeshi ,Polisi na usalama wa Taifa basi ((Usalama wa Taifa waliosomea medani za kivita na usalama wa nchi kwa ujumla sio wapambe kama wale wahuni wa Green Guard na red Guard 😂😂😂)).

Nafasi za Ukurugenzi wanatakiwa Wapewe Walimu hasa Mahead master waliofanya vizuri kwenye mashule ya serikali kwenye usimamizi ndani ya Halmashuri zao au Maafisa Elimu waliosimamia vizuri kazi za maendeleo ya Elimu kwenye Halmashuri zao . Lakini Pia Wakurugenzi wanatakiwa wawe ni maofisa ndani ya Halmashauri kama Vile maafisa kilimo ,mdaktari na mafisa wazoefu ndani ya Halmashuri .

Kwa Tangu Kikwete hizo nafasi zimekua za kupeana kama zawadi au ushkaji na hata nyumba ndogo .
Hali inayosababisha usimamizi toka juu unakua mgumu sana.
Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi Wengi wapo kama Machawa wa Rais na sio wawakilishi wa Rais .
Matokeo yake miradi ya serikali inajengwa kwa kiwango cha chini sana . Rais anazindua jengo leo na bada ya miaka mitatu lina nyufa kama Chekecheke wakati mkuu wa Wilaya yupo .

Yote ni kwa sababu ya dharau kubwa ya wanasiasa kwa majeshi yetu na pia kupandikiza Machawa ndani ya majeshi hivyo kuyaona sio chochote sio lolote .
Watu wote wanaokua chini ya Rais wanatakiwa wawe ni wawakilishi wa Rais na wanaopokea amri ya Rais na kuisimamia kama yeye mwenyewe kwa usahihi na kwa utii.

Ndio maana wakati wa Mwalimu walikua na Elimu ya kawaida lakini walisimamia miradi ya maendeleo kwa uzalendo mkubwa . Hata ukiangalia miradi ya enzi za mwalimu zilijengwa kwa ubora zaidi japo Bajeti ilikua finyu na teknolojia ndogo na mawasiliano madogo.

Mtu hajawahi kuwa hata Afisa mtendaji wa kata leo anakua mkuu wa Wilaya .!!
 
Watu hatuna maji yeye analeta story za uchaguzi. Tuliambiwa kuwa hapo ikulu alikufelisha na wewe ukaamua kuturushia huku Kisarawe huku ni majanga kabisa .

Hapa Kisarawe wilaya nzima hatuna maji yeye yuko size na ishu za uchaguzi utadhani anagombea

Barabara mbovu kila sehemu yeye yupi size na uchaguzi tu na matamko .

Ikikupendeza muondoe tuletee anayeweza kazi

USSR
Huyo Magoti ni kutoka chama gani cha siasa?
 
Watu hatuna maji yeye analeta story za uchaguzi. Tuliambiwa kuwa hapo ikulu alikufelisha na wewe ukaamua kuturushia huku Kisarawe huku ni majanga kabisa .

Hapa Kisarawe wilaya nzima hatuna maji yeye yuko size na ishu za uchaguzi utadhani anagombea

Barabara mbovu kila sehemu yeye yupi size na uchaguzi tu na matamko .

Ikikupendeza muondoe tuletee anayeweza kazi

USSR
Acha kunyanayasa walemavu na ulemavu aliotoa ccm
 
Hawezi kutimuliwa maana alishavaa Samia style kumfurahisha mama yenu.
IMG_20250208_151540.jpg
 
Mkuu wa wilaya unamuonea tu na humtendei haki hata kidogo kumlaumu na kumsagia kunguni. Haiwezekani kuanzia Mbunge, Mkurugenzi,na viongozi wengine wote washindwe kuleta maji halafu uje umtupie lawama DC asiyekusanya kodi wala ushuru wala fungu la maji. Mlaumu DC kuanzia habari za ulinzi na usalama na siyo habari za Maji huko.
 
Wewe utakuwa miongoni wa matapeli wa viwanja, Mh magoti ameshawakamata wengi wengine wapo Keko..

Mh magoti kazi anapiga sana...punguzeni utapeli. Kuhusu maji kisarawe kuna miradi mkubwa sana wa maji kibamba kisarawe.

Mradi umejengwa na mkandarasi - M/S CHICO ya China kupitia usimamizi wa Kampuni ya WAPCOS Limited ya INDIA. Mradi unazalisha lita 6,000,000 kwa siku (6,000 M3/siku). Utekelezaji wa mradi huu uligharimu shilingi Bilioni 10.64 ambazo ni fedha za Mamlaka.

Awali, kabla ya mradi huu wa DAWASA, Mamlaka ndogo ya maji iliyokuwepo ilikuwa inahudumia takribani kaya 400 katika mji wa Kisarawe, na mtandao uliokuwa na urefu wa takribani kilomita 16 na sasa DAWASA ina mtandao wenye urefu wa kilomita 148.

Magoti anapiga kazi tumpe maua yake "Achani utapeli wa viwanja" ndio mtamuelewa magoti.
 
Sasa Mkuu wa Wilaya ndo analeta maji?!
Mbunge wako na watu RUWASA wako wapi?
Acha chuki za kijinga kwa Mhe. DC
Nyie ndio chawa wake nini????
Majukumu ya DC ni yepi? msimtetee sababu labda mnahisi mtapata swawabu toka mbinguni,mkuu wa wilaya ni mteule wa Rais anaweza ongea na rais au waziri husika na ikawa msaada kqa
 
Watu hatuna maji yeye analeta story za uchaguzi. Tuliambiwa kuwa hapo ikulu alikufelisha na wewe ukaamua kuturushia huku Kisarawe huku ni majanga kabisa .

Hapa Kisarawe wilaya nzima hatuna maji yeye yuko size na ishu za uchaguzi utadhani anagombea

Barabara mbovu kila sehemu yeye yupi size na uchaguzi tu na matamko .

Ikikupendeza muondoe tuletee anayeweza kazi

USSR
Kukomenti kuhusu huyu DC ni sawa na kumkosea Muumba tu... Ngoja tuone..
 
Watu hatuna maji yeye analeta story za uchaguzi. Tuliambiwa kuwa hapo ikulu alikufelisha na wewe ukaamua kuturushia huku Kisarawe huku ni majanga kabisa .

Hapa Kisarawe wilaya nzima hatuna maji yeye yuko size na ishu za uchaguzi utadhani anagombea

Barabara mbovu kila sehemu yeye yupi size na uchaguzi tu na matamko .

Ikikupendeza muondoe tuletee anayeweza kazi

USSR
Uchawa ndio Tunu ya Taifa kwa zasa
 
Huyo kazi anayoijua ni kutoa roho za watu,Mzee Mangula hana hamu naye almanusra amuwahishe kuzimu.
 
Watu hatuna maji yeye analeta story za uchaguzi. Tuliambiwa kuwa hapo ikulu alikufelisha na wewe ukaamua kuturushia huku Kisarawe huku ni majanga kabisa .

Hapa Kisarawe wilaya nzima hatuna maji yeye yuko size na ishu za uchaguzi utadhani anagombea

Barabara mbovu kila sehemu yeye yupi size na uchaguzi tu na matamko .

Ikikupendeza muondoe tuletee anayeweza kazi

USSR
Mbunge wenu ni Waziri anafanya nini huko Bungeni hadi alaumiwe DC?
 
Si nyie mnawashobokea CCM mkome tena nyamaza kimya mpate dozi ya Diclofenac kutwa mala 2.
 
Watu huko hawajaacha uvivu
Maana kuna kipindi nko huko
Kila siku watu wako ngomani
Sjui mara kuna kibeseni mtoto anatoka,mara ndoa nk

Oba
 
Watu hatuna maji yeye analeta story za uchaguzi. Tuliambiwa kuwa hapo ikulu alikufelisha na wewe ukaamua kuturushia huku Kisarawe huku ni majanga kabisa .

Hapa Kisarawe wilaya nzima hatuna maji yeye yuko size na ishu za uchaguzi utadhani anagombea

Barabara mbovu kila sehemu yeye yupi size na uchaguzi tu na matamko .

Ikikupendeza muondoe tuletee anayeweza kazi

USSR
Jamani DC juzi alivaa koti flani hivi refu , mwacheni kidogo ,apige shoo
 
Watu hatuna maji yeye analeta story za uchaguzi. Tuliambiwa kuwa hapo ikulu alikufelisha na wewe ukaamua kuturushia huku Kisarawe huku ni majanga kabisa .

Hapa Kisarawe wilaya nzima hatuna maji yeye yuko size na ishu za uchaguzi utadhani anagombea

Barabara mbovu kila sehemu yeye yupi size na uchaguzi tu na matamko .

Ikikupendeza muondoe tuletee anayeweza kazi

USSR
Yeye yupo size na nini mkuu?😄
 
Back
Top Bottom