#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

Rais Samia akiwa Washington Dc, anasema wakati wa utawala wa awamu ya 5, mara kadhaa alijikuta anatofautiana na Rais Magufuli.

Mojawapo ya tofauti zao zilikuja kwenye suala zima la kudili na ugonjwa wa Uviko-19.

My take:
Rais Samia inatosha sasa, marehemu hasimangwi tumuache apumzike, tugange yajayo.

 
Kama kweli walitofautiana lakini akashindwa kusimamia alichokiamini mpaka mwisho basi hakuwa na msimamo.

Sikuwahi kumuona Samia akiwa amevaa barakoa wakati wa Magufuli, mtu pekee niliyemuona amevaa barakoa alikuwa ni Kikwete pekee.

Kama yupo aliyemuona Samia kuvaa barakoa wakati ule anioneshe picha na Magufuli akionekana.

Inawezekana Samia aliogopa kitumbua chake kisiingie mchanga akawa tayari kuweka reheni afya yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…