GE2025 Rais Samia itafute hekima, ukiwasikiliza waovu, utajutia ukiwa peke yako

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,840
Reaction score
18,115
Kwa hapa tulipo, Rais Samia unahitaji sana hekima yako binafsi kuliko ushauri wa uovu kutoka kwa waovu waliokuzunguka.

Ufahamu kuwa kila uovu unaoendelea nchi hii, yakiwemo matukio ya ushetani mkubwa kama vile kuteka na kuwaua wanaokukosoa, kumbambikia kesi Lisu, watu wanaoenda kisikiliza kesi ya Lisu kupigwa na kutupwa porini; uovu huo wote upo juu ya nafsi yako: ni au unahusika moja kwa moja kwa kutoa maelekezo, au kwa kuubariki, au kwa kushindwa kuchukua hatua dhidi ya waovu wanaopanga na kutekeleza matukio hayo. Lakini iwavyo vyovyote, wewe binafsi huwezi kujitenga na uovu huo.

Umezungukwa na uovu ambao ushauri wao kwako ni uovu mtupu, huku wakikuhadaa kuwa wao ndio wenye mapenzi makubwa kwako ndiyo maana wapo tayari hata kuua kwa kile wanachokuaminisha kulinda utawala wako. Wakati kiuhalisia hawana upendo wowote bali wanafanya hivyo ili waendelee kukutumia katika kufanikisha uovu wao. Usichokijua ni kuwa wao wamefichama, ila wewe ndiye ambaye unabebeshwa uovu wao wote.

Fikiria ulivyoungwa mkono na makundi mbalimbali, mpaka vyama vya upinzani, wakati ulipoanza; linganisha na jinsi leo unavyochukiwa katika kila kona ya nchi.

Kama hutaitafuta hekima, ukaijiwa na hekima, ukaendelea kuzungukwa na kupokea ushauri toka kwa mashetani yanayokuzunguka, hakika unakuja wakati ambao utaachwa pekee yako, ubebe hukumu ya uovu wako na wa wale waovu ambao ulikuwa ukipokea ushauri wao. Hapo ndipo utakaposema kuwa aheri ungekuwa mpika vitumbua kuliko kuwa Rais.

Uchaguzi wa Oktoba, bila ya maridhiano, ni upuuzi mtupu. Kama shetani ataendelea kukujaza kiburi, ukapuuza ushauri wa watu wa haki, utambue kuwa hakuna atakayeukubali. Baada ya uchaguzi, utapingwa na jumuia za Umoja wa mataifa (kuna jumuia za kimataifa zinasuburia tu uendelee na kiburi cha kupuuza haki, lakini tayari maazimio yamekwishaandaliwa), utapingwa na jumuia za kikanda, utapingwa na watanzania wathamini haki (hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayeipenda nchi ya Tanzania ambaye yupo na wewe kwenye huu mchakato wa uchaguzi wa dhuluma), utapingwa na taasisi za dini. Utakataliwa hata na Mungu wa haki (hiyo ndiyo itakuwa adhabu kubwa kuliko zote).
Utaungwa mkono na kundi dogo la waovu, tena kwa siri, maana nao hawatataka wachafuke. Wewe ndiye utakayebeba uchafu wako na wa kwao.
 
Halafu atakuja Kada Mwashambwa akibubujikwa na machozi kwa kusema mama anapendwa na kila mtu.
 
Ushauri wako ni kwa nani, huyu huyu Bi Chura Kiziwi au mwingine?? Labda msiba uwe mlangoni kwake.
 
Samia na shetani, wote ni sikio la kufa halisikii dawa. Samia bora afe tupumue kabla ya uchaguzi
 
Kinukisheni bwasheee.. maridhiano ya kitu gani.
 
Cha kujazia ili aelewe na ajue watoto wake hawana kinga yoyote ya kutoshtakiwa akae hata miaka 100 madarakani ipo siku kiti atakiacha
 
Hee umesahau kuwa ni kiziwi

Hata hiyo kuwa kiziwi, ni ushauri wa hao hao waovu washetani wamzungukao. Kulipokuwa na lawama nyingi dhidi yake, waovu mashetani wamzungukao walimwambia asiwe anajibu chochote, wao wanajua cha kufanya, wakimaanisha kuwateka na kuwaua wanaomkosoa.
 
Sasa hv yuko under wahuni, ni mwendo wa kugeuzwa kushoto kulia kushoto kulia...kikubwa mambo yao awamu hii yaende wanavyotaka wao!!.
 
Kwa hapa tulipo, Rais Samia unahitaji sana hekima yako binafsi kuliko ushauri wa uovu kutoka kwa waovu waliokuzunguka.

Ufahamu kuwa kila uovu unaoendelea nchi hii, yakiwemo matukio ya ushetani mkubwa kama vile kuteka na kuwaua wanaokukosoa, kumbambikia kesi Lisu, watu wanaoenda kisikiliza kesi ya Lisu kupigwa na kutupwa porini; uovu huo wote upo juu ya nafsi yako: ni au unahusika moja kwa moja kwa kutoa maelekezo, au kwa kuubariki, au kwa kushindwa kuchukua hatua dhidi ya waovu wanaopanga na kutekeleza matukio hayo. Lakini iwavyo vyovyote, wewe binafsi huwezi kujitenga na uovu huo.

Umezungukwa na uovu ambao ushauri wao kwako ni uovu mtupu, huku wakikuhadaa kuwa wao ndio wenye mapenzi makubwa kwako ndiyo maana wapo tayari hata kuua kwa kile wanachokuaminisha kulinda utawala wako. Wakati kiuhalisia hawana upendo wowote bali wanafanya hivyo ili waendelee kukutumia katika kufanikisha uovu wao. Usichokijua ni kuwa wao wamefichama, ila wewe ndiye ambaye unabebeshwa uovu wao wote.

Fikiria ulivyoungwa mkono na makundi mbalimbali, mpaka vyama vya upinzani, wakati ulipoanza; linganisha na jinsi leo unavyochukiwa katika kila kona ya nchi.

Kama hutaitafuta hekima, ukaijiwa na hekima, ukaendelea kuzungukwa na kupokea ushauri toka kwa mashetani yanayokuzunguka, hakika unakuja wakati ambao utaachwa pekee yako, ubebe hukumu ya uovu wako na wa wale waovu ambao ulikuwa ukipokea ushauri wao. Hapo ndipo utakaposema kuwa aheri ungekuwa mpika vitumbua kuliko kuwa Rais.

Uchaguzi wa Oktoba, bila ya maridhiano, ni upuuzi mtupu. Kama shetani ataendelea kukujaza kiburi, ukapuuza ushauri wa watu wa haki, utambue kuwa hakuna atakayeukubali. Baada ya uchaguzi, utapingwa na jumuia za Umoja wa mataifa (kuna jumuia za kimataifa zinasuburia tu uendelee na kiburi cha kupuuza haki, lakini tayari maazimio yamekwishaandaliwa), utapingwa na jumuia za kikanda, utapingwa na watanzania wathamini haki (hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayeipenda nchi ya Tanzania ambaye yupo na wewe kwenye huu mchakato wa uchaguzi wa dhuluma), utapingwa na taasisi za dini. Utakataliwa hata na Mungu wa haki (hiyo ndiyo itakuwa adhabu kubwa kuliko zote).
Utaungwa mkono na kundi dogo la waovu, tena kwa siri, maana nao hawatataka wachafuke. Wewe ndiye utakayebeba uchafu wako na wa kwao.
Waovu ambao wewe umewaona ni kina nani?

Malaika ambao wewe unadhani Wana hekima nk kina nani?

Mwisho wa kumjutisha SSH ni Mungu na sio kenge wa aina yeyote,ni vizuri kuelewa hili.
 
katika hali ya kawaida, mlimtoa wapi asiyesikia huyu! maonyo yote haya bado hasikiii!?
 
Waovu ambao wewe umewaona ni kina nani?

Malaika ambao wewe unadhani Wana hekima nk kina nani?

Mwisho wa kumjutisha SSH ni Mungu na sio kenge wa aina yeyote,ni vizuri kuelewa hili.
Waovu ni hao wanaomshauri na kumwaminisha kuwa akitaka kushinda, ni lazima awadhulumu watu haki zao, ikiwa ni pamoja na kuwateka na kuwaua wanaomkosoa.

Mwanadamu hawezi kuwa malaika bali anaweza kuwa mtu mwema. Na watu wema ni sisi tunaomshauri kutotenda dhuluma kwa sababu dhuluma, kiimani huzaa laana. Tunamshauri tukiwa na dhamira njema kwani hatutegemei fadhila yoyote kutoka kwake, tofauti na hao waovu waliomzunguka.

Nakubaliana nawe kuwa atakayemfanya ajute ni Mwenyezi Mungu, anayeudhiwa na dhuluma dhidi ya watu wake. Lakini Mungu katika kutenda kwake ana njia nyingi, hata zile tusizozifikiria. Anaweza hata kuwatumia wanadamu.
 
Kwa hapa tulipo, Rais Samia unahitaji sana hekima yako binafsi kuliko ushauri wa uovu kutoka kwa waovu waliokuzunguka.

Ufahamu kuwa kila uovu unaoendelea nchi hii, yakiwemo matukio ya ushetani mkubwa kama vile kuteka na kuwaua wanaokukosoa, kumbambikia kesi Lisu, watu wanaoenda kisikiliza kesi ya Lisu kupigwa na kutupwa porini; uovu huo wote upo juu ya nafsi yako: ni au unahusika moja kwa moja kwa kutoa maelekezo, au kwa kuubariki, au kwa kushindwa kuchukua hatua dhidi ya waovu wanaopanga na kutekeleza matukio hayo. Lakini iwavyo vyovyote, wewe binafsi huwezi kujitenga na uovu huo.

Umezungukwa na uovu ambao ushauri wao kwako ni uovu mtupu, huku wakikuhadaa kuwa wao ndio wenye mapenzi makubwa kwako ndiyo maana wapo tayari hata kuua kwa kile wanachokuaminisha kulinda utawala wako. Wakati kiuhalisia hawana upendo wowote bali wanafanya hivyo ili waendelee kukutumia katika kufanikisha uovu wao. Usichokijua ni kuwa wao wamefichama, ila wewe ndiye ambaye unabebeshwa uovu wao wote.

Fikiria ulivyoungwa mkono na makundi mbalimbali, mpaka vyama vya upinzani, wakati ulipoanza; linganisha na jinsi leo unavyochukiwa katika kila kona ya nchi.

Kama hutaitafuta hekima, ukaijiwa na hekima, ukaendelea kuzungukwa na kupokea ushauri toka kwa mashetani yanayokuzunguka, hakika unakuja wakati ambao utaachwa pekee yako, ubebe hukumu ya uovu wako na wa wale waovu ambao ulikuwa ukipokea ushauri wao. Hapo ndipo utakaposema kuwa aheri ungekuwa mpika vitumbua kuliko kuwa Rais.

Uchaguzi wa Oktoba, bila ya maridhiano, ni upuuzi mtupu. Kama shetani ataendelea kukujaza kiburi, ukapuuza ushauri wa watu wa haki, utambue kuwa hakuna atakayeukubali. Baada ya uchaguzi, utapingwa na jumuia za Umoja wa mataifa (kuna jumuia za kimataifa zinasuburia tu uendelee na kiburi cha kupuuza haki, lakini tayari maazimio yamekwishaandaliwa), utapingwa na jumuia za kikanda, utapingwa na watanzania wathamini haki (hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayeipenda nchi ya Tanzania ambaye yupo na wewe kwenye huu mchakato wa uchaguzi wa dhuluma), utapingwa na taasisi za dini. Utakataliwa hata na Mungu wa haki (hiyo ndiyo itakuwa adhabu kubwa kuliko zote).
Utaungwa mkono na kundi dogo la waovu, tena kwa siri, maana nao hawatataka wachafuke. Wewe ndiye utakayebeba uchafu wako na wa kwao.
Samia Hasan mnamuonea tuuu
 
Back
Top Bottom