Samia na shetani, wote ni sikio la kufa halisikii dawa. Samia bora afe tupumue kabla ya uchaguziKwa hapa tulipo, Rais Samia unahitaji sana hekima yako binafsi kuliko ushauri wa uovu kutoka kwa waovu waliokuzunguka.
Ufahamu kuwa kila uovu unaoendelea nchi hii, yakiwemo matukio ya ushetani mkubwa kama vile kuteka na kuwaua wanaokukosoa, kumbambikia kesi Lisu, watu wanaoenda kisikiliza kesi ya Lisu kupigwa na kutupwa porini; uovu huo wote upo juu ya nafsi yako: ni au unahusika moja kwa moja kwa kutoa maelekezo, au kwa kuubariki, au kwa kushindwa kuchukua hatua dhidi ya waovu wanaopanga na kutekeleza matukio hayo. Lakini iwavyo vyovyote, wewe binafsi huwezi kujitenga na uovu huo.
Umezungukwa na uovu ambao ushauri wao kwako ni uovu mtupu, huku wakikuhadaa kuwa wao ndio wenye mapenzi makubwa kwako ndiyo maana wapo tayari hata kuua kwa kile wanachokuaminisha kulinda utawala wako. Wakati kiuhalisia hawana upendo wowote bali wanafanya hivyo ili waendelee kukutumia katika kufanikisha uovu wao. Usichokijua ni kuwa wao wamefichama, ila wewe ndiye ambaye unabebeshwa uovu wao wote.
Fikiria ulivyoungwa mkono na makundi mbalimbali, mpaka vyama vya upinzani, wakati ulipoanza; linganisha na jinsi leo unavyochukiwa katika kila kona ya nchi.
Kama hutaitafuta hekima, ukaijiwa na hekima, ukaendelea kuzungukwa na kupokea ushauri toka kwa mashetani yanayokuzunguka, hakika unakuja wakati ambao utaachwa pekee yako, ubebe hukumu ya uovu wako na wa wale waovu ambao ulikuwa ukipokea ushauri wao. Hapo ndipo utakaposema kuwa aheri ungekuwa mpika vitumbua kuliko kuwa Rais.
Uchaguzi wa Oktoba, bila ya maridhiano, ni upuuzi mtupu. Kama shetani ataendelea kukujaza kiburi, ukapuuza ushauri wa watu wa haki, utambue kuwa hakuna atakayeukubali. Baada ya uchaguzi, utapingwa na jumuia za Umoja wa mataifa (kuna jumuia za kimataifa zinasuburia tu uendelee na kiburi cha kupuuza haki, lakini tayari maazimio yamekwishaandaliwa), utapingwa na jumuia za kikanda, utapingwa na watanzania wathamini haki (hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayeipenda nchi ya Tanzania ambaye yupo na wewe kwenye huu mchakato wa uchaguzi wa dhuluma), utapingwa na taasisi za dini. Utakataliwa hata na Mungu wa haki (hiyo ndiyo itakuwa adhabu kubwa kuliko zote).
Utaungwa mkono na kundi dogo la waovu, tena kwa siri, maana nao hawatataka wachafuke. Wewe ndiye utakayebeba uchafu wako na wa kwao.
Hee umesahau kuwa ni kiziwi
Waovu ambao wewe umewaona ni kina nani?Kwa hapa tulipo, Rais Samia unahitaji sana hekima yako binafsi kuliko ushauri wa uovu kutoka kwa waovu waliokuzunguka.

Kwa hapa tulipo, Rais Samia unahitaji sana hekima yako binafsi kuliko ushauri wa uovu kutoka kwa waovu waliokuzunguka.

Waovu ni hao wanaomshauri na kumwaminisha kuwa akitaka kushinda, ni lazima awadhulumu watu haki zao, ikiwa ni pamoja na kuwateka na kuwaua wanaomkosoa.Waovu ambao wewe umewaona ni kina nani?
Malaika ambao wewe unadhani Wana hekima nk kina nani?
Mwisho wa kumjutisha SSH ni Mungu na sio kenge wa aina yeyote,ni vizuri kuelewa hili.
Samia Hasan mnamuonea tuuuKwa hapa tulipo, Rais Samia unahitaji sana hekima yako binafsi kuliko ushauri wa uovu kutoka kwa waovu waliokuzunguka.