Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Nakuheshimu, jiheshimu!Acha unoko
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Naupenda sana Muungano wetu; lakini hapo hapo sipendi kulazimishana au kufanyiana ujanja ujanja; mmoja akifaidika zaidi ya mwingine katika muungano huo.Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Kukiwa na serikali tatu kuna tatizo gani?Nakuheshimu,jiheshimu!
Zanzibar kupata mamlaka kamili inamtisha Nani? Mbona wahafidhina mna Mambo ya ajabu ajabu hivi? Kwa hiyo CCM kukubali mchakato wa Katiba mpya mnaona kina Mwigulu na kundi lenu mnakwenda kuangukia pua?Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Acha afanyeKuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Hamna cha maana ambacho Zanzibar inaipatia TanganyikaUsalama wa kitu gani labda? Ni kipi so special hapa bara ambacho Zanzibar ndio inapaswa kuwa kinga yetu? Au ni muungano wa kitambiko kiasi kwamba ukivunjika mizimu itafanya yake?
Hamna cha maana ambacho Zanzibar inaipatia Tanganyika
Mbona hatujaungana na Comoro upande wa kusini mashariki
All in all kila upande uwe na mamlaka yake, yaani kuwe na Zanzibar huru na Tanganyika huru
Ndiyo haina mamlaka kamili. Ndiyo maana hujulikana kama "Semi autonomous archipelago"Kwani Zanzibar haina mamlaka kamili?
Tatizo hulioni? Ukiiondoa “Tanganyika” na ikasimama yenyewe, Rais wa Muungano wa “Tanzania” atabaki anahanghang tu. Nyerere hakuwa fala.Kukiwa na serikali tatu kuna tatizo gani?