Huu muungano wetu ni zao la uoga wa KarumeKenge mkubwa kuogopa kupinduliwa na vijana wa Abrahaman Babu vijana wa Umma Party. Maana ukiangalia kwa umakini, KarumeKenge aliitawala Zanzibar kwa miezi 3 tu kabla ya mwalimu kumwingiza cha kike. Mapinduzi 12 january, 26 april Muungano. Kumbuka wakati huo Mwalimu alikuwa kapeleka jeshi kulinda amani baada ya yale mapinduzi. Na hii ndio ilokuwa turufu kubwa ya Mwalimu kwa KarumeKenge. Wakihitilafiana kidogo tu, karumekenge anatishia kuvunja muungano na Mwalimu anatishia kutoa jeshi..... mchezo ulikuwa hivyo. Ila muungano huu sio wa hiyari ni wakulazimishana. Na hii tabia ya kusema eti ni kwa usalama wetu mnaipata wapi? Mbona kenya na zanzibar ni majirani lakini hakuna hatari yoyote ya kiusalama kwa wakenya?