Rais Samia, jaribio lolote la kuipa Zanzibar mamlaka kamili ndilo litakuwa anguko lako

Rais Samia, jaribio lolote la kuipa Zanzibar mamlaka kamili ndilo litakuwa anguko lako

Bila kupepesa macho ningekuwa nyerere ningeivamia zenji Sasa hv haya yasingekuwepo tunavyoongea sasahv kungekuwa na mkuu wa mkoa tuu
Nyerere alizembea sana kweye hili..hii ilipaswa kuwa first move.

Anyway muungano udumu...either way.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.

Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!

Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.

Kwenu Tiss.
Muungano wenyewe umetufanya kupoteza utaifa wetu wa Tanganyika bora serikali tatu tuwe na Tanganyika yetu kama nao na Zanzibar yao
 
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.

Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!

Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.

Kwenu Tiss.
Rais authority yake ingekua asbsolute kama huu uzi basi ni tumekwisha....ila niseme hivi ni kweli Rais ana nguvu ana tisha lakini sio kila kitu kuna Corridor za madaraka zina majitu aiseee
 
Back
Top Bottom