Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tabu gani tukawa na Rais wetu raisi wa tanganyika
Kwanza, kuna jambo umeligusia kuhusu elimu ya msingi, ni kweli nilipata hiyo elimu. Kuna nyakati unapaswa kujadiliana na watu wote ukilenga kuwasaidia, sisi wa shule ya msingi tunahitaji sana maono na mchango wako.[emoji3578]Unapotosha sana. Governing system ya Marekani imegatua madaraka extensively. Unawezaje kulinganisha representation ya watu 330+ million wenye 535 federal legislators na 7,410 state legislators (for a total of 7,945 federal and state legislators) na representation ya watu 60+ million wenye 75 federal legislators na less than 400 state legislators (for a total of less than 475 federal and state legislators)? Hii ni hesabu rahisi ya uwiano, tuliyosoma shule ya msingi! Ili comparison yako iwe meaningful, representation ya wale watu 60+ lazima ibadilike sana, either at the federal level or at the state level. Na kufanya hivyo, maana yake kuongezeka kwa gharama za uendeshaji wa nchi ya Tanzania as a whole.
[emoji3578]Una maana gani unaposema U.S. states zinachangia Feds? Marekani, federal taxes have nothing to do with state taxes. Zipo states ambazo hazina hata state income tax, lakini raia wake bado wanalipa income taxes to the federal government kama tu wafanyavyo raia wa states zingine. Mfano wa hizo states ni Texas na Florida.
[emoji3578]Uwepo wa multiple layers of taxation (federal, state, local) maana yake ongezeko la gharama. Hata usipoipa federal government mamlaka ya kutoza kodi (taxing authority), kwa kufuata ile flawed setup inayopendekezwa na Draft ya Katiba ya Tume ya Warioba, lazima kuwe na compensating effect kwenye state (na pengine local) taxes.
[emoji3578]Zanzibar ina mahakama zake yenyewe (isipokuwa haina court of final appeal) na ina Chief Judge wake. Huyo Chief Judge ana hadhi sawa na Principal Judge wa Mahakama Kuu yetu ya huku mainland. Chief Justice wa JMT ndiye boss wao wote wawili, na Court of Appeal ya JMT ina jurisdiction katika pande zote za JMT, tofauti na ilivyo kwa mahakama kuu zilizomo kwenye hizo pande mbili.
Kwanza, kuna jambo umeligusia kuhusu elimu ya msingi, ni kweli nilipata hiyo elimu. Kuna nyakati unapaswa kujadiliana na watu wote ukilenga kuwasaidia, sisi wa shule ya msingi tunahitaji sana maono na mchango wako.
Usighadhabike tuvumilie na endelea kutusaidia
Pili, kuna vitu viwili unaviweka kapu moja pengine kwa makusudi ili kupotosha kwa urahisi au kutojua
Ukiiangalia Marekani na muundo wake wa Feds ni tofauti na maeneo mengine.
Usiangalie US kirahisi, angalia idadi ya states, population na ' unconventional '' matter or situation.
Jiulize kwanini Ohio ina electoral college 29, Montana 3, California 55 , DC 3, New York 29, maine 4 , Wyoming 3!!
Angalia mgawanyo wa electoral college na ukubwa wa state, population or size of economy
Federal gov ya US no tofauti na India , Canada , Brazil au kwingine kwasababu suala la Federation is not ' one size fits all'' na hivyo tunaweza kufanya copy and paste kutokea Tanzania.
Mzee Warioba na timu yake walikwenda US na kwingine, waligundua hilo ndio maana walikuja na proposal ya federation ikiwa na mambo 7 tu
Kwa taarifa yako sasa kuna mambo zaidi ya 22 ambayo mgharamiaji ni mlipa kodi wa Tanganyika! Zanzibar ZERO
Tatu, position yangu ni very clear, kwamba nchi washirika zichangie (contribute) kupitia federal tax
Kuna tatizo gani kukiwa na federal tax kutoka kwa washirika?
Kutoka rasimu ya Warioba
1. Ulinzi na Usalama_ Jeshi na vyombo vya ulinzi vitakuwa chini ya Federal government.
Bajeti itatoka katika mapato ya sasa. Kitakachokuwa tofauti ni kwamba Zanzibar italazimika kuchangia
Gharama zinaongezeka wapi?
2. Wizara ya mambo ya ndani.
Kuna IGP na Commissioner wa Zanzibar; Katika federal IGP atabaki IGP.
Kutakuwa na commissioner Zanzibar na Commissioner Tanganyika ambao hadi sasa wapo
Gharama zinaongezeka wapi?
Immigration: Kuna Commissioner general wa Tanzania.
Katika Federal gov kutakuwa na Commissioner akisaidiwa na Commissioner msaidizi Zanzibar na Tanganyika
Sturucture na staff ipo tayari , kipi kinatakiwa kutoka federal ambacho unadhani kinaongezeka gharama?
Gharama zinaongezeka wapi?
Prison siyo suala la muungano hata sasa
3. Mambo ya nje: Kutakuwa na wizara moja kama sasa katika fed level
Structure na staff wapo . Gharama zinaongezeka wapi?
4. BoT itakuwa kama ilivyo ikiwa na magavana WASAIDIZI kwa pande zote ambao hadi sasa wapo
Gharama zinaongezeka wapi?
5, 6 na 7
Katiba, vyama vya siasa ushuru wa mapato yasiyotokana na kodi
Kuna wizara ya Muungano . Mambo hayo 3 yanaweza kuingizwa katika wizara ya muungano ya fed
Gharama zinaongezeka wapi?
FYI mambo yote 7 yanagharamiwa na Tanganyika na kodi zake, Zanzibar haina mchango
Tukisema Washirika wacahngie tuna maana Tanganyika na Zanzibar zitoe kodi kuchangia na si kama sasa ambapo mzigo wa muungano umebebwa na Kodi za Tanganyika na hapa ndipo panakuchanganya ukijua federal gov maana yake Tanganyika ilipe kodi na kubeba zigo jingine.
Ni nafuu kwa Tanganyika, ikiwa Zanzibar itachangia 5% itapunguza mzigo kwa Tanganyika kutoka 100% hadi 95%
Fed gov. itasaidia Tanganyika kuelekeza resources zake maeneo yenye maana na tija.
Kwa mfano, ripoti ya BoT mwaka jana inaonyesha Mkoa wa Mwanza ulichangia 10 Trilioni katika pato la Taifa.
Zanzibar haionekani ilichangia nini (zero).
Hata hivyo pesa zinazoelekezwa Zanzibar ni nyingi kuliko zinazopelekwa Mwanza au eneo jingine lolote la Tanganyika.
JokaKuu Pascal Mayalla
Ndugu yangu sijashindwa kutetea hoja za Bunge, nilichokueleza ni kuwa usiangalie Fed ya US ukadhani ya Tanzania itakuwa kama ile, kuna factors zaidi na nikakuonyesha kuwa katika Fed level ukiangalia ukubwa Bunge la US halafu ukubwa wa Fed gov na Judicial system ukazileta Tanzania hazifanyi kazi[emoji3578]Comparison ya Bunge la Marekani na Bunge la Tanzania umeileta wewe mwenyewe, lakini sasa umeshindwa kuitetea.
[emoji3578]Hatuna sababu ya kuendelea kupoteza muda zaidi juu ya jambo hili. Nakushauri tu ujielimishe zaidi kuhusu federation zinavyofanya kazi. Obviously, bado huelewi kwamba federal institutions zinakuwa governed na federal laws na state institutions zinakuwa governed na state laws. There’s no sharing of institutions at all; federal police are there to enforce federal laws and state police are there to enforce state laws.
Ndugu yangu sijashindwa kutetea hoja za Bunge, nilichokueleza ni kuwa usiangalie Fed ya US ukadhani ya Tanzania itakuwa kama ile, kuna factors zaidi na nikakuonyesha kuwa katika Fed level ukiangalia ukubwa Bunge la US halafu ukubwa wa Fed gov na Judicial system ukazileta Tanzania hazifanyi kazi
Tukarudi kwenye gharama, nikakubaliana nawe kuwa Fed inapaswa kuwa na vyanzo kwa contribution ikiwa na maana tax kutoka pande zote unlike sasa ambapo JMT inagharamiwa na Tanganyika
Tukarudi kwenye gharama nikakupa mambo 7 ya Warioba hapo juu ambayo ni proposal ya Fed na kukuomba uonyeshe gharama zinaongezaje, kwakweli sidhani kama una jibu
Unakosa jibu kwasababu unaangali mfumo wa US badala ya kuangalia Tanzania. Kwamba, lazima kuwe na Fed na state kwa kila kitu. Ninakuambia hapana kwa mujibu wa Rasimu ya Warioba, sisi tuna mambo 7 mengine yanabaki kwa nchi mbili. Katika hayo 7 tayari kuna structure na staff, hakuna gharama na kama ipo onyesha.
Mfumo wa Warioba si ule wa US ambapo state zina ''replica'' ya federal, sisi tuna 7 tu
Sijui kama unaelewa Timu ya Warioba ilichosema. As of today tuna kitu kinaitwa Union, lakini hakuna union kama ilivyokusudiwa ni ''Fedearion' iliyofichwa na kufinyangwa finyangwa.[emoji3578]Bunge la JMT liwe na wabunge 45 kutoka Tanganyika halafu wingi wa legislators wa levels zote za Serikali ya Tanganyika uwe vipi? Kuniambia legislators wa levels zote za Serikali ya Tanganyika watakuwa 300 or so ni kukosa seriousness. Labda kama unataka tuendelee kuwa na wateule wa Rais huko mikoani na wilayani.
Ni hivi umekariri panapokuwa na Federal gov lazima kuwe na 'state police na Federal police etc''[emoji3578]Kama umeshindwa kuelewa hata kitu kirahisi tu, kwamba tutakuwa na federal police (responsible for enforcing federal laws) ambao ni tofauti na Tanganyika state police (responsible for enforcing Tanganyika state laws) na Zanzibar state police (responsible for enforcing Zanzibar state laws), nadhani sina jinsi nyingine ya kukueleza ili uelewe. Utaelewa mbele ya safari tukiamua kwenda na hii option ya federation!
Sijui kama unaelewa Timu ya Warioba ilichosema. As of today tuna kitu kinaitwa Union, lakini hakuna union kama ilivyokusudiwa ni ''Fedearion' iliyofichwa na kufinyangwa finyangwa.
Zanzibar ina vyombo vyake, hivi vya JMT ni vya Tanganyika. Hapa unataka level gani?
Tanganyika tayari ina structure na staff wanaohudumu kama JMT
Rasmi ya Warioba inasema Tanganyika itakuwa na Wabunge 45 na Zanzibar 30 kwa ujumla wa 75 katika Federal level inayoshughulika na mambo 7 niliyoorodhesha hapo.
Katika hayo 7 nimekuonyesha muundo hautaongeza senti tano kwasababu structure ya sasa ni sawa na ya Fed kukiwa na Zanzibar inayojitegemea na Tanganyika inayojitegemea ikiwa imebeba Tanzania
Ni hivi umekariri panapokuwa na Federal gov lazima kuwe na 'state police na Federal police etc''
Yes huo ndio muundo unaoujua wa US. Kwa bahati mbaya muundo huo haufiti mazingira ya Tanzania yenye nchi mbili na ambayo Rasimu ya Warioba imesema wazi ni mambo 7
Maana yake ni kuwa huhitaji kuwa na jeshi la Tanganyika wala Zanzibar
Kwa muundo wa jeshi na vyombo vya ulinzi leo , kuna gharama ipi imeongezeka? Huna jibu
Wizara ya Mambo ya ndani ikiwa na Polisi na Uhamiaji. Kwa US yes structure ipo Fed hadi state
Warioba anasema tutakuwa na Wizara moja ya mambo ya ndani kama leo. Gharama inaongezeka wapi?
Kwa mifano hiyo miwili nionyeshe wapi gharama zinaongezeka? Huna jibu
Tatizo lako unaangalia US kama Model, ni sahihi lakini unaacha factors nyiingine nje zinazotofautisha na kwamba sisi tuna nchi mbili tu.
Labda kuna kitu sijakuelewa nikuulize. Kwanini unadhani katika Fed system tunatakiwa tuwe na Tanganyika Police, Zanzibar Police na Tanzania Police.
Post kama hizi huwa sizichukulii kwa wepesi hata siku moja. Kuna watu huwa wanaonyesha na Mungu. Kuna jamaa alipost 2009kuwa 2015 nchi itaongozwa kidiktetaKuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Unasema wewe tu wenye mfumo hawataki, au mpaka nikutumie clip ya lukuvi alivyosema Zanzbar hamuwez kuwaachia wawe huru?Tunataka sana Tanganyika! ikirudi mtaelewa
Wewe ni kijana mdogo sana, zama za Zanzibar kusema tunavunja muungano zimepita miaka mingi
Siku hizi tunasema hata mkitaka kesho ondokeni hatuna cha kupoteza
Wakati ukifika utaelewa
Mbona hujibu hoja?You can’t handle this topic; just move on to other topics. Unachozungumzia sio federation, ni mambo fulani ya ajabu ajabu tu. Kwenye federation, unlike ilivyo sasa, kuna ugatuzi mkubwa wa madaraka. Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Muungano zitasimama kivyake na kuendesha shughuli zake kwa Katiba na sheria zake na kwa kutumia institutions zake. Kama institutions zilizopo zitaendelea kuwa shared kama ilivyo sasa, basi hapo hakuna federation. Hata sijui hicho kitu kinaitwaje!
Wabunge wetu wangekuwa na nondo kama zenu mnazozishusha hapa,tungekuwa mbali kimaendeleoKwanza, kuna jambo umeligusia kuhusu elimu ya msingi, ni kweli nilipata hiyo elimu. Kuna nyakati unapaswa kujadiliana na watu wote ukilenga kuwasaidia, sisi wa shule ya msingi tunahitaji sana maono na mchango wako.
Usighadhabike tuvumilie na endelea kutusaidia
Pili, kuna vitu viwili unaviweka kapu moja pengine kwa makusudi ili kupotosha kwa urahisi au kutojua
Ukiiangalia Marekani na muundo wake wa Feds ni tofauti na maeneo mengine.
Usiangalie US kirahisi, angalia idadi ya states, population na ' unconventional '' matter or situation.
Jiulize kwanini Ohio ina electoral college 29, Montana 3, California 55 , DC 3, New York 29, maine 4 , Wyoming 3!!
Angalia mgawanyo wa electoral college na ukubwa wa state, population or size of economy
Federal gov ya US no tofauti na India , Canada , Brazil au kwingine kwasababu suala la Federation is not ' one size fits all'' na hivyo tunaweza kufanya copy and paste kutokea Tanzania.
Mzee Warioba na timu yake walikwenda US na kwingine, waligundua hilo ndio maana walikuja na proposal ya federation ikiwa na mambo 7 tu
Kwa taarifa yako sasa kuna mambo zaidi ya 22 ambayo mgharamiaji ni mlipa kodi wa Tanganyika! Zanzibar ZERO
Tatu, position yangu ni very clear, kwamba nchi washirika zichangie (contribute) kupitia federal tax
Kuna tatizo gani kukiwa na federal tax kutoka kwa washirika?
Kutoka rasimu ya Warioba
1. Ulinzi na Usalama_ Jeshi na vyombo vya ulinzi vitakuwa chini ya Federal government.
Bajeti itatoka katika mapato ya sasa. Kitakachokuwa tofauti ni kwamba Zanzibar italazimika kuchangia
Gharama zinaongezeka wapi?
2. Wizara ya mambo ya ndani.
Kuna IGP na Commissioner wa Zanzibar; Katika federal IGP atabaki IGP.
Kutakuwa na commissioner Zanzibar na Commissioner Tanganyika ambao hadi sasa wapo
Gharama zinaongezeka wapi?
Immigration: Kuna Commissioner general wa Tanzania.
Katika Federal gov kutakuwa na Commissioner akisaidiwa na Commissioner msaidizi Zanzibar na Tanganyika
Sturucture na staff ipo tayari , kipi kinatakiwa kutoka federal ambacho unadhani kinaongezeka gharama?
Gharama zinaongezeka wapi?
Prison siyo suala la muungano hata sasa
3. Mambo ya nje: Kutakuwa na wizara moja kama sasa katika fed level
Structure na staff wapo . Gharama zinaongezeka wapi?
4. BoT itakuwa kama ilivyo ikiwa na magavana WASAIDIZI kwa pande zote ambao hadi sasa wapo
Gharama zinaongezeka wapi?
5, 6 na 7
Katiba, vyama vya siasa ushuru wa mapato yasiyotokana na kodi
Kuna wizara ya Muungano . Mambo hayo 3 yanaweza kuingizwa katika wizara ya muungano ya fed
Gharama zinaongezeka wapi?
FYI mambo yote 7 yanagharamiwa na Tanganyika na kodi zake, Zanzibar haina mchango
Tukisema Washirika wacahngie tuna maana Tanganyika na Zanzibar zitoe kodi kuchangia na si kama sasa ambapo mzigo wa muungano umebebwa na Kodi za Tanganyika na hapa ndipo panakuchanganya ukijua federal gov maana yake Tanganyika ilipe kodi na kubeba zigo jingine.
Ni nafuu kwa Tanganyika, ikiwa Zanzibar itachangia 5% itapunguza mzigo kwa Tanganyika kutoka 100% hadi 95%
Fed gov. itasaidia Tanganyika kuelekeza resources zake maeneo yenye maana na tija.
Kwa mfano, ripoti ya BoT mwaka jana inaonyesha Mkoa wa Mwanza ulichangia 10 Trilioni katika pato la Taifa.
Zanzibar haionekani ilichangia nini (zero).
Hata hivyo pesa zinazoelekezwa Zanzibar ni nyingi kuliko zinazopelekwa Mwanza au eneo jingine lolote la Tanganyika.
JokaKuu Pascal Mayalla
Uzee kwako ni mzigo kwetu. Sasa hapo hatari iko wapi acha kuwa na mawazo mgando. We unapakana na congo, burundi na rwanda, unatishiwa nini na znzKuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Mbona hujibu hoja?
umekaririuundo wa federation jaribu kuelewa ni nzuri zaidi na itakusaidia
Sisi si sawa na Nigeria, US au India. Tunazungumzia nchi mbili tu ambazo population, na economy zao ni tofauti sana
Mbona structure ya muungano kuna Tanganyika na Zanzibar na Tanzania iliyojificha na tuna vyombo kama jeshi bila kuwa na ugatuzi. Umekariri kuwa federation lazima ionekane kama ya Canada au Australia.
Taasisi za sasa tayari zinatengeneza federation kwasababu zipo za Zanzibar na zile za Tanzania ni za Tanganyika
Kuna mambo 7 tu yanayotakiwa kuwa ya pamoja katika federation. Hayo ni pamoja na Polisi
Nina kuuliza kwanini unadhani tunatakiwa kuwa na Tanganyika Polisi, Zanzibar Polisi na Tanzania Polisi?
Huna jibu kwasababu umekariri
Ndio maana nasema kila mara watu wanaosema kuna gharama wanapotosha na wana hoja za kipuuzi
Unapokuwa na hoja halafu huwezi kuitetea kwa mantiki it defies logic
Ndiyo maana jiwe aliua na kuteka watu lkn hakufanywa kitu.ndio maana mlikataa chanjo Samia kasema chanjo lazima na hamna kitu
May be! but unaposhindwa kujibu hoja kwa mantiki ! inafikirisha.[emoji3578]Sio swala la kukariri. Wewe nimeshakuambia, hii topic iko beyond your understanding. Honestly, hata sijui ugumu wa kuelewa hiki kitu rahisi uko wapi.
Huku ndiko kukariri kwasababu unasoma federal ya US basi unataka ifanye kazi kwa nchi mbili ambazo moja ni ndogo sana. Tazama mbali zaidi ya urefu wa pua.[emoji3578]Nimeshasema numerous times kwamba, kwenye federation, kuna levels tofauti za law enforcement. Enforcers wa federal laws ni vyombo vya federal na enforcers wa state laws ni vyombo vya state. Prosecution ya watuhumiwa wa federal crimes inafanyika kwenye federal courts na prosecution ya watuhumiwa wa state crimes inafanyika kwenye state courts. Wanaokuwa convicted of federal crimes wanafungwa kwenye federal prisons na wanaokuwa convicted of state crimes wanafungwa kwenye state prisons. Uwepo na uendeshwaji wa hizi institutions unasimamiwa na sets mbili tofauti za sheria. Is this rocket science?
Mama anatakiwa aisambaratishe ccm ili TANU yetu irudi na Wakojani wabaki na HIZBU na AFROSHIRAZI mtifuano uanze.