Rais Samia, jaribio lolote la kuipa Zanzibar mamlaka kamili ndilo litakuwa anguko lako

Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.

Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!

Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.

Kwenu Tiss.
Kama jimbo la Taxas la USA linaanda kura ya maoni kujitenga na US mwaka 2023 kwanini, Zanzibar uikataza, muache uoga wa mabadiliko.
 
Akifanya hivyo automatically ana risk nafasi yake ya kuwa Rais.
Ashakuwa rais mkuu. Labda useme anarisk nafasi ya kuendelea kuwa rais. Lkn unatumia kigezo gani kubashiri hayo? Usiishi kwa historia.

Hakuna watu ama taasisi yenye nguvu ya kumsulubu rais aliyeko madarakani hasa rais wa JMT.

Amewahi kusulubiwa rais wa Zanzibar Aboud Jumbe, lkn kwa JMT haujawahi kutokea na ni ngumu sana kutokea. Wewe unatumia nn kuamini unachoandika?
 
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.

Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!

Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.

Kwenu Tiss.
Ni hatari ipi hiyo mbona hauisemi?
Hakuna hatari yoyote,ni ujinga kuhisi hatari ambayo kiuhalisia haipo!
 
wapeni wakojani nchi yao, in 1 yrs yatakuja mataifa mengi huru Zanzibar, Moja itaitwa Jamhuri ya Unguja na Nyingine itaitwa jamhuri ya Pemba...

Watuachie nasisi wamakonde Taifa letu Tanganyika, kama vipi ipigwe kura..
 
Acha wajitwalie Mamlaka kamili tache kuwanyonya, Shida ama tabu za Wazanzibari zinakolezwa na Wabara..
 
Ashakuwa rais mkuu. Labda useme anarisk nafasi ya kuendelea kuwa rais. Lkn unatumia kigezo gani kubashiri hayo? Usiishi kwa historia.

Hakuna watu ama taasisi yenye nguvu ya kumsulubu rais aliyeko madarakani hasa rais wa JMT.

Amewahi kusulubiwa rais wa Zanzibar Aboud Jumbe, lkn kwa JMT haujawahi kutokea na ni ngumu sana kutokea. Wewe unatumia nn kuamini unachoandika?
Ukiipa mamlaka Zanzibar hutakwepa kuipa mamlaka Tanganyika.

Itatupasa watanganyika tufanye uchaguzi wa Rais wetu.

Na kama hali ndio hiyo itatubidi tuwe na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tz, kwakuwa aliyepo atakua wa utaratibu wa Zamani tutapaswa kufanya uchaguzi kwa utaratibu mpya. Hivyo nafasi yake itaathirika.
 
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.

Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!

Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.

Kwenu Tiss.
Utaanguka wewe na mama yako na CHUKI zako mshenz wewe
 
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.

Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!

Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.

Kwenu Tiss.
Japo wanasemaga wasiwasi ndio akili lakini huu wasiwasi wa kwamba Tanganyika itakuwa mashakani haiingii akilini !! Tanganyika tumezungukwa na nchi zisizopungua saba na miaka yote tupo salama !! Kwanza Zanzibar na Tanganyika hakuna yeyote anayetaka kujitenga na mwenziwe !!
 
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.

Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!

Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.

Kwenu Tiss.

Nje ya Muungano, hakuna Zanzibar isipokuwa kuna Unguja na Pemba. Kama wanadhani sumu inaonjwa, wajaribu waone. Haitaisha miaka mitano kabla Tanganyika haijapokea wakimbizi kutoka upande huo!
 
Tatizo hulioni? Ukiiondoa “Tanganyika” na ikasimama yenyewe, Rais wa Muungano wa “Tanzania” atabaki anahanghang tu. Nyerere hakuwa fala.

Harafu kwanini tujipe mzigo wa kuwa na Serikali ya tatu isiyokuwa ardhi wala tija?
Watu wanataka kuweka serikali nane za majimbo huku Tanganyika pekee wewe unashangaa serikali tatu tu kwa nchi mbili !!
 
Nje ya Muungano, hakuna Zanzibar isipokuwa kuna Unguja na Pemba. Kama wanadhani sumu inaonjwa, wajaribu waone. Haitaisha miaka mitano kabla Tanganyika haijapokea wakimbizi kutoka upande huo!
Wacheni kukariri UJINGA Hivi Nchi zote duniani zili survive Kwa sababu za Miungano oongeeni Kwa mifano km Nchi zinzokua hazipo ktk Miungano huwaga hazitawaliki
 
Sasa hayo si ni mambo yao binafsi mkuu? Wewe mtanganyika inakuhusu nini hilo?

Mimi naona wapewe tu hayo mamlaka kamili tukutane East Africa Community. Tunaitaka Tanganyika yetu pia
 
Nje ya Muungano, hakuna Zanzibar isipokuwa kuna Unguja na Pemba. Kama wanadhani sumu inaonjwa, wajaribu waone. Haitaisha miaka mitano kabla Tanganyika haijapokea wakimbizi kutoka upande huo!
UTABIRI !!
 
Wacheni kukariri UJINGA Hivi Nchi zote duniani zili survive Kwa sababu za Miungano oongeeni Kwa mifano km Nchi zinzokua hazipo ktk Miungano huwaga hazitawaliki

Kukariri kuko wapi hapo? Hapo walipo tayari Pemba na Unguja hawaivi. Unadhani power struggle itakayotokea itawaacha salama?
 
Back
Top Bottom