Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 1,317
- 1,817
Tufanye mojaThat isn’t the point. Kuna upotoshaji mkubwa kwamba hakuna engezeko la gharama hata tukiwa na Muungano wenye serikali tatu! Tukiamua kufuata njia hiyo, tuende tukijua engezeko la gharama lipo.
Hakuna shida mume anaoa mke anamtunza na kumlisha huku anaendelea kuhonga michepuko nje.Basi endeleeni tu kuvumilia acheni kulalamika
Nyerere alizembea sana kweye hili..hii ilipaswa kuwa first move.Bila kupepesa macho ningekuwa nyerere ningeivamia zenji Sasa hv haya yasingekuwepo tunavyoongea sasahv kungekuwa na mkuu wa mkoa tuu
Muungano wenyewe umetufanya kupoteza utaifa wetu wa Tanganyika bora serikali tatu tuwe na Tanganyika yetu kama nao na Zanzibar yaoKuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Rais authority yake ingekua asbsolute kama huu uzi basi ni tumekwisha....ila niseme hivi ni kweli Rais ana nguvu ana tisha lakini sio kila kitu kuna Corridor za madaraka zina majitu aiseeeKuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.