Rais Samia: Jengo la Kariakoo kulikuwa na mchanga mwingi kuliko nondo na saruji

Trump ukukuje huku, bado sindano haijawaingia vizuri ongeza dozi ikiwezekana zimua na pilipili kichaa.
 
Wakati rais akila bata na waokozi wa kariakoo huko kariakoo kuna ghorofa linaungua moto muda huu. Hii ina maana gani?
 

Nafikiri watapata na kifuta jasho pia siyo kuishia kula biriani halafu nyumbani anarudi mikono mitupu


Pia atasema kitu kuhusu wale Waaguzi na madaktari walioahiriki kwenye kambi ya Covid 19 mwaka 2020 ambao mpaka leo hawajawahi pata acha tu mkono wa shukrani (posho zao) hata shukrani ya kudanganyisha.wengine walipoteza mqisha kwenye harakati za kuwahudumia wahanga

Sidhani kama ikitokeq dharura kama ile tena watatoa ushirikiano mzuri.
 
SIASA noma sanaaaa huu mwaka 2025 tutaona mengi,,, na sis TUNAO SIKILIZIA ATUITE yaaan tunafanyiwa interview 259 wanaohitajika ni 12 nchi ngumu sanaaaa NTAPIGA KURA HAIJALISHI MTAIBA,,
 
cheap popularity.........tanzania tumepatwa kweli kweli
 
Mama amemalizia na kusema tule, tunywe, na tufurahi pamoja, huku ni wapi jameni?! Sijasikia hiyo event au ni ya waalikwa tu?! 😄
 
Hakujawahi kutokea rais anayepigiwa promo kama huyu, lazima atakuwa ana weaknesses nyingi zaidi kuliko strengths!!.
 
Mama Samia Hepi besidei, baada ya chakula tafadhali mtumbue Chalamila.

..pia kuna suala la vita vya DRC.

..Mama Abduli ndiye Mwenyekiti wa tume ya ulinzi ya SADC.

..huu ndio muda wa kuvaa kofia ya Amiri Jeshi Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…